Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,274
- 5,893
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).

- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza