Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida.

Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliza chuo nikiwa na 24 nilipata sehem ya kujiegesha kwa kazi ambayo mshahara haukuzidi hata laki 4 lakini kama zali vile kuna ndugu alinipa kigari kinisaidie mizunguko ya mjini, Ilikuwa gari ya kiuchumi inatumia mafuta kidogo hivyo sikuhofia kupiga misele, nilikuwa mtunzaji sana wa gari sikuenda sana gereji, kitu pekee kilichonigharimu ni service nilivyokuwa naifanya baada ya miezi sita

Ehh bwana weee !! wanawake wakikuona una gari tena hasa uwe kijana mdogo haujavuka 30 tayari wanajua una uelekeo mzuri kwenye future yako, wanakuona husband material. kumbe wasichojua mtu anaweza kuwa anaingiza chini ya elf 10 kwa siku ila anaweza kutumia gari, kazidiwa kipato hata kwa dereva wa daladala.

Kimasihara masihara nikaanza kutoa lifti kwa kisingizio cha "Dada nakuomba uingie kwenye gari nikusogeze, jua ni kali / mvua itanyesha" kitu imooo !!! niliwahi kuifanya hii hata kwa crush wangu niliekuwa namsaka kwa muda mrefu huku akinitolea nje, game niliisimamia ukuxha 😂 usiku kucha.

Ukiwa na gari usitumie zile mbinu za kuomba namba kwenye daladala ama mtaani ukiwa unafukuzia kwa mguu ama boda, inabidi ujiongeze thamani, tengeneza business card zako, hii inakupa thamani zaidi na kuwazuzua vilivyo kukuona una piga mishe nzito nzito na unalingana na hadhi wanavyokufikiria, kwamba unaweza hata kuja kuwapa konection, binafsi business card zangu zilikuwa za mchongo niliweka Jina la kampuni la kujitungia, nikajipa cheo mimi ni meneja, cha ukweli kilikua ni namba ya simu tu, akishuka mpe card yako na elf 2 ya boda, uhakika wa kukucheki ni 90 %.

Kugharamika kwa kila pisi inaweza kukucost elf 20 ukiwa na kigeto chako, ukisema uende lodge huko kuna hela ya Ziada ya chumba.

Exit Strategy ni rahisi sana, waweza tu kusingizia mke wako kagundua, cha muhimu usiweke kambi, ukiweka kambi kwa muda mrefu huwezi acha kienyeji.

Umri umeenda na baadhi ya mambo nayo yamekwenda, ilikuwa ni Enzi hizo za ujana ndio nilifanya hio michezo, kwa sasa nina ndinga kali zaidi lakini siwezi hata kufikiria kuigeuza iwe chambo 😂 Enzi hizo hata ukionekana na kabebe kwenye gari unasifiwa na age mates ila kwa sasa hizi Ishu hata nikihitaji Labda niwe na mchepuko wa malengo ya kuwa nae muda mrefu sio kukaa na mtu siku 3, it's more than the action, it's about a serious relationship.
 
Michongo ya zamani sana hiyo.
Ni kauli zenye dalili ya kuzeeka, pengine wewe utakuwa umenizidi hata miaka kumi upo 45 huko, umri unavyozidi kwenda haya mziki wa sasa utaona hauna ladha kwako lakini kwa vijana hali ni tofauti.

vijana wadogo bado wanazuzuka sana na magari tangu kitambo,

Nina ushuhuda hadi miaka hii haya mambo yapo, Kuna kijana mdogo kabisa jirani ana miaka 23 namjua kwa miaka sita na nikiri wazi hakuwa na bahati na wanawake, hivi sasa kanunua gari ya kawaida kabisa toyota corola, anatembeza mkongoto mpaka kwa dada zake wenye 28
 
Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata access ya hawa wenye hizi baby walker,

Hali ya uchumi ilikuwa ya kawaida sana, kazi ilikuwa na mshahara usiozidi hata laki 5 lakini kama zali vile kuna ndugu alinipa kigari kinisaidie mizunguko ya mjini, Ilikuwa gari ya kiuchumi mafuta haili sana hivyo sikuhofia kupiga misele, nilikuwa mtunzaji sana wa gari hivyo sikuenda sana gereji, mifuko ilitoboka kwenye service tu ambayo ilikuwa naifanya kibahili kila baada ya miezi sita.

Ehh bwana weee !! wanawake wakikuona una gari tayari wanajua upo vizuri mfukoni na future yako imekaa sawa wanakuona husband material kumbe wasichojua mtu anaweza kuwa anaingiza elf 10 kwa siku ila ana gari, kazidiwa kipato hata na mpishi wa hoteli.

Kimasihara masihara nikaanza kutoa lifti kwa kisingizio cha "dadaingia kwenye gari nikusogeze, jua ni kali / mvua itanyesha " kitu imooo !!! Na niliwahi kuifanya hii hata kwa crush wangu niliekuwa namsaka kwa muda mrefu huku akinitolea nje na mbinu ilikubali.

wala usiombe namba hizo ni ishu za kuviziana miguu, wewe uwe na business card zako, hii inakupa thamani zaidi na kuwazuzua vilivyo kukuona una [iga mishe nzito nzito, kwamba unaweza hata kuja kuwapa konection, business card zangu za mchongo niliandika mimi ni meneja wa kampuni ambalo hata halipo, akishuka umpe hata elf 2 ya boda mpe na business card yako, uhakika wa kukucheki ni 90 %.

Actually kugharamika kwa kila pisi inaweza kukucost elf 20 ukiwa na kigeto chako, unaweza singizia upo mkoani kikazi umeiacha nyumba yako huko ulikotoka na hilo heto ni la mdogo wako, ukiwa mtu wa lodge hizi gharama zinaweza kuongezeka.
Leta picha za ulowatafuna
 
Katika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.

Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
 
Katika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.

Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
Me i love good cars, bt sio mwanamume alete dharau juu ya mwanamke kisa hizo gari, guys mtapata hao wapo cheap
 
Me i love good cars, bt sio mwanamume alete dharau juu ya mwanamke kisa hizo gari, guys mtapata hao wapo cheap
Same, nikionaga Ford Ranger au Disco kaliiii 4 au 5 natabasamu peke yangu.

Mimi mwanaume mwenye mentality ya gari this, gari that huwa namcancel mapemaaa. Enzi hizo nadate lakini, sasa hivi niko committed kwa mtoto wa mtu 😅
 
Wengine magari hatujayaonea ukubwani Mkuu, kawaida sana.
Me i love good cars, bt sio mwanamume alete dharau juu ya mwanamke kisa hizo gari, guys mtapata hao wapo cheap
Gari is not everything but is an added advantage. Yaani mwanaume ukiwa na gari una advantage kuliko asiye na gari kama kila kitu mkiwa sawa.
Kwa wanawake wengi ambao wana malengo ya long-term relationships, ukiwa huna gari ni kianzio kibaya, ingawa bado siyo kikwazo but a car tells a lot about a man and modern women use it as a yardstick.
 
Katika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.

Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
Jua kutofauti X na kuzidisha, gari na usafiri, + na msalaba
 
Katika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.

Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
 
Unasema hupendi Gari alafu hapo hapo unaitaja Ford Ranger kua Gari yako pendwa ukiiona tu unakua wet ghafla,
Aiseee we jamaa. Nadhani nimeongea katika namna ambayo akili yako imeshindwa kuelewa kwa uharaka.

Mimi sio kati ya wanaozuzuka na magari, nikiona gari zuri nikatolea mfano hayo mawili nafurahi tu, wala sibabaiki.
 
Back
Top Bottom