Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

View attachment 65573



tuache blabla oh nataka suluhusho ndani ya wiki mbili wakati kila siku wana safiri na wanaona tatizo liko wapi mbona wenzetu ethiopia wameweza!!!!!!!!!!!!
 
Foleni haitaisha kwani mji ulisha kosewa

huu mradi wa mabasi ya kasi icje kuwa ni mradi wa wakubwa mana haionekani kuwa ni suluhisho la kudumu, lowassa alishasema wafanye maamuzi magumu.
 
Aiseeee babaangu mbona hii barabara mbona 2nayo si pale manzese
mkuu rombo kale kadaraja kasikokuwa na mpangilio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezentu ethiopia wanako kama hako lakini unaona kabisa wana plan sio sie. kila mahali siasa!
 
siasa bwana tuliambiwa umeme utakuwa historia bado mgao kama kawa
tukaambiwa tutaletewa meli mpya ziwa voctoria, tukaambiwa uwanja mkubwa wa ndege kigoma bukoba
tukaambiwa mengi tu lakini sijaona utekelezaji
HIVI WANATUONA HTUNA AKILI HADI LEO.
 
Hili ndilo suluhisho sio kuwa na mabasi yanayokwenda kwa kasi yupo wapi Mh. Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe? aione hii picha....................

attachment.php
 
nakuwa na wasiwasi sana na viongozi wetu na sio ajabu unakuta baadae wanaanza kusema kuwa 'walishauriwa vibaya' na ndio maana wakasema waliyoyasema.

Chukulia juzi Mh. JK anasema kuwa foleni za dsm zinasababisha kuvunja ndoa za watu na kaenda mbali zaidi kuainisha kauli yake hiyo kwa kutoa mfano wakati mimi nilitegemea angeelezea kile kiini cha ujenzi wa barabara ambacho ni kukuza uchumi na wala sio ndoa!
Na jana tena anasema kuwa watalii hawaji dsm kwa vile hakuna mji mzuri na ndio anaamua kujenga Kigamboni ili iwe sawa na New York na ivute watalii, lakini hakueleza kama Kenya pia wamejenga 'New York' yao mpaka kupata watalii wote wanaowapata!!
Kikubwa zaidi ni kuwa Mabasi yaendayo kasi ni Morogoro rd tu (Kimara/Ubungo) na Daraja ni Kigamboni. Je hizi sehemu zingine za mji zitamaliza vipi foleni?? Ni bora angetumia muda kueleza mpango uliopo kwa main roads zote zinazolink master plan ya mji ikiwa ni pamoja na junctions zote.
Ethiopia wamefika hapo na wenzetu Kampala wamejenga kabarabara kamojatu tena kadogo (Northern Bypass) na kametatua tatizo la foleni kwa kiasi kikubwa kwa wenye magari wote na sio Magari yaendayo kasi tu na wala hawlipii kwa kupita humo bali load license ndio malipo pekee tofauti na daraja letu.
 
Back
Top Bottom