Maombi ya kutafuta kazi

PARA1212

New Member
Aug 28, 2022
4
2
Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha.
kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu

umri_20
Elimu_kidati cha nne
Ninapoishi mkoa_dar es salaam
Mtaa_kagera oil com
Mawasiliano_0748062286
Email_tamineta1212@gmail.com

Nimatumaini yangu kuwa yeyote atakae guswa basi Hata sita kunisaidia na ninamuomba anisaidoe. Kwani Mimi ni kijana ninae jituma,muadilifu,muwajibikaji na mchapa kazi..
AHSANTE
 
tamineta ?????
angalia yafuatayo kwenye maombi yako ya kazi, mambo ya ajabu usiyaweke kwenye mitandao, mipichapicha ya kizushi kwenye mitandao, majina ya ajabu ajabu, sisemi hili la tamineta, mwonekano mfano umepiga kiduku, na kata k, nk nk.
 
Sawasawa
 
Back
Top Bottom