Maombi kwa Nchi ya Tanzania June/July 2023

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake.

1. Kijani
2. Blue
3. Dhahabu/njano
4. Nyeusi

Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni na si vinginevyo. Isitokee ikapanda au ikashuka kabla ya muda wake rasmi. Na isitokee ikagoma kupanda mpaka mwisho wa mlingoti (juu). Mungu ailinde katika hili. Pamoja na kuomba kwetu tumwambie Mungu mapenzi yake yatimizwe.
 
Back
Top Bottom