Maombelezo ya waliofariki kwa tetemeko la ardhi

Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
 
Magufuli ana shughuli ipi yenye umuhimu mkubwa iliyomsababisha ashindwe kuhudhuria maombelezo na kuagwa kwa watu waliofariki kufuatia tetemeko hilo? Anaumwa?
Ndugu zangu wa JF, inabidi tufike mahali fulani tuthamini maana ya kupashana habari za kutusaidia katika kuelimika kutokana na mawazo yenye weledi! Mkuu tunajua Mhs Rais amekuta nchi hii imeoza mpaka uuzo umekuwa na FANGUS, kwa hiyo kila dk ina maana kubwa ktk shughuli zake. Ndiyo sababu ya kuwakilishwa na mhs Waziri Mkuu. Kataa usikatae Mhs Rais anatumia mda huu kupalilia site ili jengo litakalo jengwa liwe imara KABISA. Ukweli ni huo na hata kama UNAUMA kwa baadhi ya watu hapa JF
 
Ahsante Mkuu sherehe hiyo ya Sept 13 si kikwazo cha yeye kutohudhuria maombolezo ya wenzetu waliokumbwa na maafa ya tetemeko lile la ardhi.
Siku matokeo ya Urais yanatangwa na JPM kuibushwa mshindi, mitaani kulipoa sana.
Kuna kada mmoja wa CCM nilimtumia ujumbe kuwa huu ni msiba kwa TZ kwa mtukufu kuwa rais. Hakunielewa.
Jamaa anahubiri hapa kazi tuu kana kwamba muda wote ni wa kazi.
Kuacha kazi za kiofisi ili kuwajulia hali wahanga wa maafa ni muhimu kuliko anavyodhani.
Watu tumeshaingiwa kiungulia naye.
 
Acha upumbav.u taahira wewe! Hivi hujawahi kusikia Marais mbali mbali duniani kukatisha ziara zao ili kurudi makwao kwenye maafa!? Sherehe ni Sept 13 kwanini awepo huko siku mbili/tatu kabla ya sherehe husika?

Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
 
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Kwahiyo Magufuli alichaguliwa na Wazambia?Hivi huwa hamuoni viongozi wa nchi za wenzetu wanavyothamini raia wao yanapotokea majanga ya aina hii?!Hata Makamu wa Raisi nae ameshindwa kwenda huko Bukoba?!Hivi wewe akili yako si bora hata ya nyumbu?!
 
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Hivi una akili timamu kabisa wewe?
Zambia muhimu kuliko wananchi waliompigia kura Magufuli?
Mbona nyie ccm hamnaga hata fikra?
Kila kitu ushabiki hata kwenye hamna.
 
umesahau kupatwa kwa jua?... nyie watu vipi? nilishawaambia mimi na sayansi tuliachana secondary....ni somo pekee nilipata F kati ya yote... kiimani it is a bad omen...anza kuunganisha sasa...KUPATWA KWA JUA +TETEMEKO LA ARDHI +______=______
 
Ndugu zangu wa JF, inabidi tufike mahali fulani tuthamini maana ya kupashana habari za kutusaidia katika kuelimika kutokana na mawazo yenye weledi! Mkuu tunajua Mhs Rais amekuta nchi hii imeoza mpaka uuzo umekuwa na FANGUS, kwa hiyo kila dk ina maana kubwa ktk shughuli zake. Ndiyo sababu ya kuwakilishwa na mhs Waziri Mkuu. Kataa usikatae Mhs Rais anatumia mda huu kupalilia site ili jengo litakalo jengwa liwe imara KABISA. Ukweli ni huo na hata kama UNAUMA kwa baadhi ya watu hapa JF
Kama ulisoma kitabu cha Niktin au kile cha Kozrov, vyote vya political economy form 5-6 (1980s) kuna maelezo juu ya aia za kazi na kanuzi za malipo kwa wafanyakazi. Huyo jamaa unayemjibu hawezi kukusikiliza kwa kuwa anakamilisha kipande cha kazi yake (necessary labour time). Ni miongoni wa vijana wa kazi (distortion) wa mitandao ya kijamii wa Lowasa, kundi la Ben saa 8, anapalilia malipo yake ya leo. Just take him lightly kwa sababu hata yeye mwenyewe usishangae kama haamini yale anayoyaandika. Just a sell out mercenary.
 
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Kuna viongozi wengi tu wenye uchungu na nchi zao wanakatisha sherehe za kizushi na kuungana na raia kwenye maombolezo ya kitaifa .Halafu kushiriki sherehe za kuapishwa mtu aliyeiba kura ni kujitafutia laana ya bure tu .
 
Ndugu zangu wa JF, inabidi tufike mahali fulani tuthamini maana ya kupashana habari za kutusaidia katika kuelimika kutokana na mawazo yenye weledi! Mkuu tunajua Mhs Rais amekuta nchi hii imeoza mpaka uuzo umekuwa na FANGUS, kwa hiyo kila dk ina maana kubwa ktk shughuli zake. Ndiyo sababu ya kuwakilishwa na mhs Waziri Mkuu. Kataa usikatae Mhs Rais anatumia mda huu kupalilia site ili jengo litakalo jengwa liwe imara KABISA. Ukweli ni huo na hata kama UNAUMA kwa baadhi ya watu hapa JF
Ni ukanda au ni nini ? Hivi unaweza kuwa na roho ngumu ya kumwamini mwanaccm kiasi hiki ! Walioshindwa kwa miaka 60 watafanya maajabu yapi kwa miaka mitano ? Watanzania ni wa kuhurumiwa tu .
 
Back
Top Bottom