Maombelezo ya waliofariki kwa tetemeko la ardhi

Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Kwa hili… ulikurupuka...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha upumbav.u taahira wewe! Hivi hujawahi kusikia Marais mbali mbali duniani kukatisha ziara zao ili kurudi makwao kwenye maafa!? Sherehe ni Sept 13 kwanini awepo huko siku mbili/tatu kabla ya sherehe husika?
Mbona unakuaga na jazba? Waeleze vizuri watakuelewa
 
Amehairisha tayari, anzisheni mada nyingine tena kwa nini amehairisha kwenda Zambia
 
...nimesikia anaenda kuhani janga la tetemeko na kuacha safari ya zambia....ningeshangaa sana kama angeenda zambia...maana ziara ya zambia haingekua na umuhimu kama ziara alizoacha kwenda za wakuu wa nchi sadcc...na ethiopia na hata rwanda...bora ameacha kwenda zambia..tungemsema sana....maana hamna tija kwenda kuhudhuria kuapishwa rais aliyesemekana ameiba kura....hili janga la tetemeko tz ni coincidence tu....safari ya zambia ingemuonyesha JPM ni rais wa namna gani....kama angeenda..
 
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Dah haya maneno unaweza kuyarudia tena ? Ebu ita tena watu Nyumbu
 
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
umelelewa wapi? unaita watu toilet I paper? mama yako je? baba yako je? hats kama ni kubembeleza cheo umezidi bora jalala kuliko mdomo wako
 
Hajitambui huyu Mkuu achana naye alikuwa anajaribu kujustify malipo yake ya Buku 7.

umelelewa wapi? unaita watu toilet I paper? mama yako je? baba yako je? hats kama ni kubembeleza cheo umezidi bora jalala kuliko mdomo wako
 
Acha upumbav.u taahira wewe! Hivi hujawahi kusikia Marais mbali mbali duniani kukatisha ziara zao ili kurudi makwao kwenye maafa!? Sherehe ni Sept 13 kwanini awepo huko siku mbili/tatu kabla ya sherehe husika?
Toka kumponda Lowasa mpaka kumpongeza inahitaji undumilakuwili wa hali ya juu.
 
Kama ulisoma kitabu cha Niktin au kile cha Kozrov, vyote vya political economy form 5-6 (1980s) kuna maelezo juu ya aia za kazi na kanuzi za malipo kwa wafanyakazi. Huyo jamaa unayemjibu hawezi kukusikiliza kwa kuwa anakamilisha kipande cha kazi yake (necessary labour time). Ni miongoni wa vijana wa kazi (distortion) wa mitandao ya kijamii wa Lowasa, kundi la Ben saa 8, anapalilia malipo yake ya leo. Just take him lightly kwa sababu hata yeye mwenyewe usishangae kama haamini yale anayoyaandika. Just a sell out mercenary.
Aisee, Asante sana kwa kunifahamisha nitakuwa nawa ignore. ...ubarikiwe
 
Mh raisi Magufuli alishatoa taarifa ya pole kwa uma. Anao wawakilishi wake sio lazma kufika yeye mwenyewe, pia ukumbuke watanzania hatuna jema akienda mikoa hiyo tunalalamika ukabila na upendeleo.
 
Hakika Lumumba hakuna mwenye akili timamu...Jana ndo imejiriidhisha rasmi..

Kama ulisoma kitabu cha Niktin au kile cha Kozrov, vyote vya political economy form 5-6 (1980s) kuna maelezo juu ya aia za kazi na kanuzi za malipo kwa wafanyakazi. Huyo jamaa unayemjibu hawezi kukusikiliza kwa kuwa anakamilisha kipande cha kazi yake (necessary labour time). Ni miongoni wa vijana wa kazi (distortion) wa mitandao ya kijamii wa Lowasa, kundi la Ben saa 8, anapalilia malipo yake ya leo. Just take him lightly kwa sababu hata yeye mwenyewe usishangae kama haamini yale anayoyaandika. Just a sell out mercenary.
 
Aisewrote sante sana kwa kunifahamisha nitakuwa nawa ignore. ...ubarikiwe

Ndege wanaofanana....hakika akili za wanalumumba wote ziko sawa na Jana ndo mmehidhiirishia dunia..

Ila ninachoshukuru mwenyekiti wenu kapuuza akili zenu na kuchukua Ushauri Wetu...ingawa kafanya hvo dakika za lala salama
 
Kweli zinafana na tutawatawala milele yote. ...nakutakia IDD MUBARAK my friend
 
Back
Top Bottom