Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,448
- 4,240
Sheria ya mtandao inabisha hodiWa
Walokuzaa wewe ndi toilet paper
Sheria ya mtandao inabisha hodiWa
Walokuzaa wewe ndi toilet paper
Kwa hili… ulikurupuka...Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Mbona unakuaga na jazba? Waeleze vizuri watakuelewaAcha upumbav.u taahira wewe! Hivi hujawahi kusikia Marais mbali mbali duniani kukatisha ziara zao ili kurudi makwao kwenye maafa!? Sherehe ni Sept 13 kwanini awepo huko siku mbili/tatu kabla ya sherehe husika?
Dah haya maneno unaweza kuyarudia tena ? Ebu ita tena watu NyumbuTukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Amehairisha = ameahirishaAmehairisha tayari, anzisheni mada nyingine tena kwa nini amehairisha kwenda Zambia
Tukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
umelelewa wapi? unaita watu toilet I paper? mama yako je? baba yako je? hats kama ni kubembeleza cheo umezidi bora jalala kuliko mdomo wakoTukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Toka kumponda Lowasa mpaka kumpongeza inahitaji undumilakuwili wa hali ya juu.Acha upumbav.u taahira wewe! Hivi hujawahi kusikia Marais mbali mbali duniani kukatisha ziara zao ili kurudi makwao kwenye maafa!? Sherehe ni Sept 13 kwanini awepo huko siku mbili/tatu kabla ya sherehe husika?
Aisee, Asante sana kwa kunifahamisha nitakuwa nawa ignore. ...ubarikiweKama ulisoma kitabu cha Niktin au kile cha Kozrov, vyote vya political economy form 5-6 (1980s) kuna maelezo juu ya aia za kazi na kanuzi za malipo kwa wafanyakazi. Huyo jamaa unayemjibu hawezi kukusikiliza kwa kuwa anakamilisha kipande cha kazi yake (necessary labour time). Ni miongoni wa vijana wa kazi (distortion) wa mitandao ya kijamii wa Lowasa, kundi la Ben saa 8, anapalilia malipo yake ya leo. Just take him lightly kwa sababu hata yeye mwenyewe usishangae kama haamini yale anayoyaandika. Just a sell out mercenary.
Kama ulisoma kitabu cha Niktin au kile cha Kozrov, vyote vya political economy form 5-6 (1980s) kuna maelezo juu ya aia za kazi na kanuzi za malipo kwa wafanyakazi. Huyo jamaa unayemjibu hawezi kukusikiliza kwa kuwa anakamilisha kipande cha kazi yake (necessary labour time). Ni miongoni wa vijana wa kazi (distortion) wa mitandao ya kijamii wa Lowasa, kundi la Ben saa 8, anapalilia malipo yake ya leo. Just take him lightly kwa sababu hata yeye mwenyewe usishangae kama haamini yale anayoyaandika. Just a sell out mercenary.
Aisewrote sante sana kwa kunifahamisha nitakuwa nawa ignore. ...ubarikiwe
Shog@ mzeeTukiwaita nyumbu, au toilet paper mnakasirika ina maana haujui kua rais magufuli yupo zambia kwenye sherehe za kumuapisha edgar lungu,??Halfu ndo mnatuimbia mapambio ya kuchukua nchi??Mtasubiri sana nyie nyumbu
Kweli zinafana na tutawatawala milele yote. ...nakutakia IDD MUBARAK my friendNdege wanaofanana....hakika akili za wanalumumba wote ziko sawa na Jana ndo mmehidhiirishia dunia..
Ila ninachoshukuru mwenyekiti wenu kapuuza akili zenu na kuchukua Ushauri Wetu...ingawa kafanya hvo dakika za lala salama