Bujibuji ya kweli hayo uliyoeleza ..... kwa hio ulimchungulia?:scared:
Kwani CHENGE alikutwa wapi akiwanga?
Uanasheria wake na hadhi yake alikutwa UCHI WA MNYAMA BUNGENI AKIMWAGA NDUMBA
what.....????
Ah sasa Buji kama naye ni mwanaforum si atakujua umetoa siri yake? Lakini kweli maofsini kuna mambo?
Unayashangaa ya Musa, leo umeyaona ya Firauni.
Kwa kweli nimecheka,na kuimagine huyo mtu alivyokuwa.hizi imani hizi mmhh inasikitisha.Kuna rafiki yangu mmoja mbunge aliniambia huko bungeni mambo ya ushirikina ndio yamejaa na yeye ni mmoja wapo anaehangaika,hawaamini kama mabo yambo yanaweza kwenda yenyewe bila ya kuyaendea kwa mganga.na huyo mtu ukimuona huamini kabisa.
Buji asilaumiwe, hamna siri ya watu wawili.
Hapa ofisini kwetu kuna kaka mmoja mwanasheria. Anaheshimika na watu wote kutokana na tabia yake ya kuwahi sana ofisini, unadhafu na ukimya wake.
Leo nimewahi sana kufika ofisini kwa kuwa nilikuwa nimetokea muhimbili kumuona mgonjwa.
Nilichokishuhudia, mheshimiwa huyu nimemkuta ****** akichota mikojo yake na kunawa usoni. Aliponiona alishtuka sana, akaniambia ana safisha nyota na kujikinga na uchawi ambao wabaya wake wamekuwa wakimtupia.
Jamani, kumbe vyeti sio ufahamu.
Nimecheka sana leo.
Bujibuji ya kweli hayo uliyoeleza ..... kwa hio ulimchungulia?:scared: