Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

Sayari nazo zilifundishwa kwa majina haya:

1.Zebaki - Mercury
2.Zuhura - Venus
3.Dunia - Earth
4.Mirihi - Mars
5.Sumbula - Jupiter
6.Sarateni - Saturn
7.Zohali - Uranus
8.Kausi - Neptune
9.Utaridi - Pluto (Sasa sijui kama hii tayari imeshatolewa kwenye mitaala maana si sayari tena tangu tarehe 24 Agosti, 2006(Kwa mujibu wa "International Astronomical Union (IAU)",kuwa haina vigezo/sifa vya/za kuitwa sayari tena).
 
umetisha kiongoz
 
kwani haya maneno siku hizi hayatumiki kufundishia? nenda shule ya msingi utayakuta na kuna mengine mapya yameongezeka, mfano tehama.
 
Sayari nazo zilifundishwa kwa majina haya:

1.Zebaki - Mercury
2.Zuhura - Venus
3.Dunia - Earth
4.Mirihi - Mars
5.Sumbula - Jupiter
6.Sarateni - Saturn
7.Zohali - Uranus
8.Kausi - Neptune
9.Utaridi - Pluto (Sasa sijui kama hii tayari imeshatolewa kwenye mitaala maana si sayari tena tangu tarehe 24 Agosti, 2006(Kwa mujibu wa "International Astronomical Union (IAU)",kuwa haina vigezo/sifa vya/za kuitwa sayari tena).
Asante kwa mchango lakini orodha hapa ina matata. Hasa matumizi ya "Utaridi" na "Zohali" haiwezekani kuwa sahihi. Maana ni majina lenye asili ya kiarabu yanayotaja sayari No. 1 ("Mercury") na No. 6 ("Saturn") kutoka jua na hii tangu milenia. Sayari no. 7 na 9 hazikujulikana hadi karne iliyopita (Pluto) au ile iliyotangulia (Uranus).

Kuna hali baya katika kamusi zetu - tazama orodha inayolinganisha kamusi mbalimbali huko Majadiliano:Sayari - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Natafuta tafsiri ya maneno haya ya kiingereza katika kiswahili.

Quantum
Photon
Symmetry
Infinity
Amplitude
Frequency
Dimension
Plane
Perpendicular
Horizontal
Vertical
Black Hole
Quasar
Galaxy
Cluster
Super-cluster
Multiverse
Big Bang

wataalam wa lugha njooni mtusaidie
 
Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi?

1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide.

2.Joto ficho -Latent heat.

3.Hamirojo -Protein.

4.Mwendokasi mtoroko -Escaping velocity.

yabisi=solidi

kiwambo seli= cell membrane

umbijani= chrophyll(kama sijakosea)

pia sayari zilijulikana kwa majina ya zebaki:mercury, zuhura:venus, mihiri, sumbula,utaridi etc.
 
Ujazonene-Density
Tungamo-Mass
Kiwambo nywaa-Cell Membrane
Mifereji nusu duara-Semi circular canals
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom