Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi?

1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide.

2.Joto ficho -Latent heat.

3.Hamirojo -Protein.

4.Mwendokasi mtoroko -Escaping velocity.

Pembe mraba,
Kipeo, kipeuo cha pili
Mcheduara
Kigawe kikubwa cha Shirika (G.C.D)
Kigawe kidogo cha Shirika (L.C.M)
Mstatiri.
 
Nakumbuka neno kani ya umemetuli aka gravitatinal force na uchavushaji peke aka polination
 
Badiliko la kiumbo= physical change 1/2xkxh k=kitako msambanba mlalo mche duara ute=vaginal fluid
 
ushahidi tosha kutokana na post chache nilizoziona kwamba kiswahili ni lugha yetu ya taifa YES ila kuitumia kama media ya kufundishia si hoja mbaya ila tuna changamoto nyingi sana as we all know lugha haijajitosheleza to that extent, ni mawazo yangu tu jamani
 
Sijui nilifaulu vipi shule ya msingi! Manake maneno mengi nilikuwa siyafahamu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom