ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Mkuu hii mimi naipenda sana, kwenye negotiations na mimi ukitamka hivyo inakula kwako.
Mtaalam, hiyo mara nyingi hutumika pale ambapo hali imeshakuwa siyo shwari. Wakuu huwa wanaitumia sana hiyo wakati wa migomo ili hali iwe shwari kwanza.hahahahahahahahahahahahahahaha... Baada ya hapo ndio inafuata hiyo ya "tuko kwenye mchakato", "tutafanya kila linalowezekana" etc...