MANENO hatari zaidi TANZANIA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:

1. 'wapatao'

2. 'takribani'

Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.

Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
 
Mwenyewe umeshasema ni maneno yanyosemwa kama hakuna taarifa kamili halafu hapo hapo unataka yasitumike
kipi ni kipi wewe?
 
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:

1. 'wapatao'

2. 'takribani'

Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.

Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
Hicho ni kiswahili, unataka watanzania tuongelee lugha za makaila yetu nini?
 
Habari za awali ni lazima ziwe na maneno hayo ,ni wastani kizungu nafikiri ni average na kisiasa unaweza kusema abiria waliokuwemo ni 1000 kihabari kwa waTangazaji unaweza kusema waliokufa ni 300 waliookolewa 100 na nahoza kakimbia na life jacket au life boat.
 
Serikali iko mbioni,serikali iko kwenye mchakato,serikali inaendelea kufanya.......,serikali imejipanga etc etc!!!!!!!
 
Mpango Endelevu
Mkurabita
Mkukuta
Mikakati
Uvunjifu wa amani
Nchi haitatawalika
Kilimo kwanza
Power tillers
Wakiwezeshwa wanaweza!
Tuwalambe, Tusiwalambe?
 
waliokufa ni 12 halafu hawasemi waliopona niwangapi kati ya watu 250 huu ni ujinga mkubwa sana!
 
Tanzania ni kisiwa cha amani.
Ni upepo tu, utapita.
Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Programu ya chama.
Chama dume!
"Wanataka Kutugawa WaTz"
 
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:

1. 'wapatao'

2. 'takribani'

Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.

Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
inteligensia
 
Mpango Endelevu
Mkurabita
Mkukuta
Mikakati
Uvunjifu wa amani
Nchi haitatawalika
Kilimo kwanza
Power tillers
Wakiwezeshwa wanaweza!
Tuwalambe, Tusiwalambe?

mkuu kuna hizi pia
Mkuza
Mkumbita
kiherehere
unawaswawaswa
liwalo na liwe
chuo cha uzalendo
 
waliokufa ni 12 halafu hawasemi waliopona niwangapi kati ya watu 250 huu ni ujinga mkubwa sana!

Unaweza kujua waliopona kama umepewa waliopotea ,ni simple equation tu !

250-12 = 248 ,sasa kama utapata y ambao ndio waliopona unaweza ukapa x ambao ni waliopotea.

Hivyo 250= 12 + y+x ,x=248-y

250-y= 12+x , 250-y= 12 +248-y ,250-250=-y+y , 0=0 ,hivyo utaona hakuna ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom