MANENO hatari zaidi TANZANIA...

Unaweza kujua waliopona kama umepewa waliopotea ,ni simple equation tu !

250-12 = 248 ,sasa kama utapata y ambao ndio waliopona unaweza ukapa x ambao ni waliopotea.

Hivyo 250= 12 + y+x ,x=248-y

250-y= 12+x , 250-y= 12 +248-y ,250-250=-y+y , 0=0 ,hivyo utaona hakuna ukweli.

Duh, wewe ndugu yangu unatikiwa kufundishwa hesabu za milinganyo haraka sana. Kwa mchango wako wa humu JF, ni lazima utengewe fungu la tuition. wakati unaanza, nikasema "Yes" Mheshimiwa wa mikokotoo kaja. Kumbe vumbi tupu ! duh !
 
Zanzibar ni nchi ukiwa ndani ya JMT
Zanzibar sio nchi ukiwa nje ya JMT
Ari Mpya, kasi Mpya, nguvu mpya
Weledi
Pesa ya CHENJI ya Rada
 
"tutahahakisha hajali hazitokei tena, tumejifunza kutokana na hili"
"tutawaagiza sumatraa sasa wawe makini zaidi ya hapo awali"
 
Tanzania nchi ya amani.
Migomo ya vyuo ni mgongo wa chadema
swala hili lipo mahakamani
 
waliokufa ni 12 halafu hawasemi waliopona niwangapi kati ya watu 250 huu ni ujinga mkubwa sana!
Inaonyesha ni jinsi gani wengi ama hamufuatilii mambo au mnafanya makusudi kupotosha umma. Walishatangaza asubuhi kuwa 31 wamepatikana wamekufa, 134 wameokolewa na waliobaki 125 hawajulikani walipo
 
Athari za ukoloni "at least", "about", at most" "nearly" DHAIFU, MAGAMBA, MAGWANDA, .......... IKULU, BUNGENI, POSHO
 
Inaonyesha ni jinsi gani wengi ama hamufuatilii mambo au mnafanya makusudi kupotosha umma. Walishatangaza asubuhi kuwa 31 wamepatikana wamekufa, 134 wameokolewa na waliobaki 125 hawajulikani walipo

Kama ni hivyo meli hiyo ilikuwa na abiria wangapi? 134+125+31 = 290.

Serikali hadi jana inasema ilikuwa na abiria 250.

I'm affraid to say this hao 150 ambao hawajulikani walipo most likely they are dead. Chance ya kuwapata alive is very very SMALL.
 
Inaonyesha ni jinsi gani wengi ama hamufuatilii mambo au mnafanya makusudi kupotosha umma. Walishatangaza asubuhi kuwa 31 wamepatikana wamekufa, 134 wameokolewa na waliobaki 125 hawajulikani walipo
Haaahaaaaa! Mkuu, hata hilo neno kuwa 'HAWAJULIKANI WALIPO' Linaudhi! Kwani huko meli ilipozama kuna vichaka au mitaa??!! Halafu hata hiyo habari yako ya namba ulizoleta hapo inapotosha(?) Ukijumlisha hizo namba unapata 290. Hiyo nayo inaonyesha kuna mengi yanafichwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom