MANENO hatari zaidi TANZANIA...

Tusiingilie uhuru wa mahakama....
Serikali itaunda tume kuchunguza...
Tuvute subira, serikali imejipanga...!!!!
Intelijensia ya polisi imegundua...!
Tulieni, bado tunafanya uchambuzi yakinifu..!
Hatutaki mtu aharibu amani na mshikamano "wetu"..!!!!????
 
Unaweza kujua waliopona kama umepewa waliopotea ,ni simple equation tu !

250-12 = 248 ,sasa kama utapata y ambao ndio waliopona unaweza ukapa x ambao ni waliopotea.

Hivyo 250= 12 + y+x ,x=248-y

250-y= 12+x , 250-y= 12 +248-y ,250-250=-y+y , 0=0 ,hivyo utaona hakuna ukweli.

Ndugu inaonyesha ulikuwa mkali wa namba darasani.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Na maneno mengi wanayosemwa na wale wabunge wa ccm, yaani analalamika weee hadi kutaka kulia....ooh jimboni kwangu hakuna barabara ya lami hata km 1 ,hosp hazina dawa kabisa....halafu baadaye anaunga mkono hoja kwa asilimia 100,300,nk.
 
Upembuzi yakinifu unaendelea......
Hoja hii nimeikataa sababu seikali inaifanyia kazi.....
Kwasababu ya ufinyu wa bajeti...........
Namuomba mheshimiwa mbunge avute subira, jambo hili serikali imeshaliona na inalifanyia kazi
 
Unaweza kujua waliopona kama umepewa waliopotea ,ni simple equation tu !

250-12 = 248 ,sasa kama utapata y ambao ndio waliopona unaweza ukapa x ambao ni waliopotea.

Hivyo 250= 12 + y+x ,x=248-y

250-y= 12+x , 250-y= 12 +248-y ,250-250=-y+y , 0=0 ,hivyo utaona hakuna ukweli.

Kwenye Nyekundu; Msaada please au Mwiba hakupita darasa la kwanza?
 
Kama ni hivyo meli hiyo ilikuwa na abiria wangapi 134+125+31 = 280.

Serikali hadi jana inasema ilikuwa na abiria 250.

I'm affraid to say this hao 150 ambao hawajulikani walipo most likely they are dead. Chance ya kuwapata alive is very very SMALL.

Kwenye Nyekundu; Yaelekea leo pepo wa hisabati kavamia JF! Yaonekana na wewe Bobuk hukupita darasa la kwanza kama mwenzako Mwiba!
 
Tumejipanga kushughulikia
Kero zenu zimesikika na sasa serikali inazishughulikia
mikakati endelevu
tuiachie serikali ishughulikie
muda ukifika tutatoa majibu
mimi sio msemaji, msemaji yupo
Vijana wako kazini kushughulikia
 
Kagoda, Dowans, Richmond, IPTL, Songas, NET solution. AGGRECO, PAN AFRICA ENERGY, Vijisent. EPA, PCCP, TISS

kweli nikiskia haya Maneno huwa nguvu zinaisha
 
Naomba ufute hiyo kauli yako "HUKUPITA DARASA LA KWANZA"

Kama ukikataa nitakuomba ulete UTHIBITISHO.

Hapo kwenye Nyekundu! Jamani nyie wabunge naomba mtofautishe maneno ambayo huwa Bi. Kiroboto anawaeleza mkiwa mjengoni; humu ni Jamii Forum (Great Thinkers Room) sasa hiyo kauli umeisikia saa ngapi? au mwenzetu unabadilisha maandishi kuwa sauti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom