Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

Nini Nyerere! watu humu walimlinganisha Mandela na Slaa.

mandela yupo juu bwana alikuwa sio mtu wa visasi, kama jk
. uliza wenzake waliopigania uhuru na jk aliishia wapi eg kina kambona kina bibi titi na wengineo wengi.
mandela aliwasamehe woote hata waliomfunga jela,
 
The social sciences have no hard and fast rules, that is why they are called "soft sciences". You don't have formulas to calculate political gravita in the same manner you have formulas to calculate Newtonian gravity.

Even Gallup can't do it.

Hugo Chavez is a beacon of revolutionary anti imperialism to some, while he is an extreme pariah to some, even in one country, take the US.

The same duplicity applies to Kemal Ataturk, Thomas Sankara, Felix Houphoet Boigny, Paul Kagame or even HIM Haile Selassie I.

It then follows, politics is not a "zero sum game". You have room for the so called "win win" situations.

And frankly, "lose lose" situations too.

Some claim both Mandela and Nyerere in the final analysis proved to be losers.

They could not groom quality leadership and pass the baton to people with a sustainable and admirable caliber of leadership they are praised for.
 
Akian Nyerere, Jombo Kenyata na wengine wengi tu walifungwa enzi za kupigania ukombozi, hili la Mandela kufungwa si geni, kama ni kufungwa tu ndio kulikompa uzito huo wakati kuna wengine wengi tu walifungwa na walipokuwa huru waliendelea kupigania haki hadi nchi zinapata uhuru. Hapa kwa kufungwa tu kwangu hoja haijatosheleza kupata uzito huo.
Mandela alifungwa miaka 27. Nyerere hakukaa selo hata mwezi.
Mandela hakutaifisha mali ya mtu alipotoka jela wala hakuleta azimio la Arusha wala azimio la Cape Town.
Mandela alisamehe wote waliomtenda na hakulipiza kama Kambarage alivyofanya. Kambarage alimfunga Kassanga Tumbo, Chief Fundikira, Chief Lugwishwa, na akamkimbiza Oscar Kambona nk
Mandela alitaka uhuru kwa watu wote bila kubagua mtu. Kambarage aliwafanyizia wote waliokuwa na mawazo tofauti. (Kambona, Mtei, Mapalala etc).
Mandela alikuwa anashaurika na anaambilika. Kambarage alikuwa hashauriki wala haambiliki.
Mandela hakutaka kuwatesa watu na siasa uchwara za ujamaa na kujitegemea. Kambarage alituletea balaa kiuchumi. Hata Colgate ama soda ilikuwa ni luxury item kwa watanzania!!
Mandela hakuwalazimisha watu kuhama kwenye makazi yao. Kambarage aliwalazimisha watu kuhama bila ridhaa yao.
Mandela hakuwa mnafiki. Kambarage alisababisha vita ili amrudishe swahiba wake Milton Obote madarakani.
Mandela alikuwa rafiki kwa wote na hata wale waliompinga. Kambarage aliwachukia waliokuwa maadui zake i.e.chief Fundikira, Kambona, Mtei, Kassanga Tumbo.
Mandela hakutaka vita bali amani. Kambarage alijiingiza kwenye vita na kuwaita majirani zake nduli. (Idd Amin/Biafra/Banda)
Mandela alitawala kipindi kimoja. Kambarage alikaa miaka 30 madarakani.
Mandela alijali free enterprise economy. Kambarage alitaka African socialism ambayo haikutekelezeka hadi leo.
Mandela alijali vyama vingi na wapinzani. Kambarage aliogopa na hakutaka multipartism wala kusikia wapinzani hadi alipotoka.
Mandela aliwapenda viongozi wote barani Africa. Kambarage alikuwa na siasa za makundi na majungu na hakuheshimu sovereignity ya nchi nyingine (alitaka kumrudisha Obote wakati alikuwa sio raisi wa Uganda, alimsupport Ojukwu na Biafra).
Mandela alipenda ku-reason na watu hata opponents wake. Kambarage aliwatisha opponents wake.
Mandela hakutishika wala kuwaogopa machifu wa makabila mengine. Kambarage aliogopa na kuwapiga marufuku machifu wa makabila mengine nlakini akamwacha chifu wa kabila lake tu (Chief Wanzagi).
Mandela haku-take sides. Nyerere alikumbatia Warsaw pact during the cold war.
Mandela alitaka uhuru wa kisiasa na kiuchumi. Nyerere alipinga uhuru wa kisiasa wala kiuchumi na kutusababishia majanga e.g. bidhaa ziliadimika kiasi cha kwamba hata kumiliki mafuta ya Kimbo au TV ilikuwa ni kuhujumu uchumi.

cc: Faiza Fox, Kiranga, EMT, Nyani Ngabu, Kobelo, Ritz
 
Kumfananisha Mandela na Nyerere na sawa na kumfananisha Flyod Mayweather Jr. na Rashid Matumla. Nyerere ni Matumla
 
1921472-3x2-940x627.jpg

4767989.jpg
 
Hii inaitwa compare and contrast. Nice comparisons dude! Though Nyerere hakuongoza miaka 30 ilikua 23
 
Kabla ungejiuliza kwanza kwa nini Mlima Kilimanjaro unajukana duniani kuwa upo Kenya na siyo Tz, Tanzanite inapatikana S. Africa, India na sio Tz.
 
Mandela noma jamani acheni....hana visasi kabisa.hivi unafanya mchezo nakufungwa miaka 27..?yani tokea mtu azaliwe hadi afikishe miaka 27 ndo jamaa anatoka jela,kwa maana nyingine ni kwamba kama haujafikisha miaka 27 inamaanisha tokea uzaliwe hadi leo bado mandela yupo tu gerezani,sasa tafakari enzi za utoto wako,hadi sasa ndio utaona moaka 27 sio mchezo.
 
Pia yeye hakuidhinisha watu waliohukumiwa kunyongwa wanyongwe + kifungo utaona kawazidi marais wote Duniani na ndio maana viongozi wengi wamehudhuria mazishi yake mkuu!
 
Mandela noma jamani acheni....hana visasi kabisa.hivi unafanya mchezo nakufungwa miaka 27..?yani tokea mtu azaliwe hadi afikishe miaka 27 ndo jamaa anatoka jela,kwa maana nyingine ni kwamba kama haujafikisha miaka 27 inamaanisha tokea uzaliwe hadi leo bado mandela yupo tu gerezani,sasa tafakari enzi za utoto wako,hadi sasa ndio utaona moaka 27 sio mchezo.

Kweli mkuu.
 
Mandela alifungwa miaka 27. Nyerere hakukaa selo hata mwezi.
Mandela hakutaifisha mali ya mtu alipotoka jela wala hakuleta azimio la Arusha wala azimio la Cape Town.
Mandela alisamehe wote waliomtenda na hakulipiza kama Kambarage alivyofanya. Kambarage alimfunga Kassanga Tumbo, Chief Fundikira, Chief Lugwishwa, na akamkimbiza Oscar Kambona nk
Mandela alitaka uhuru kwa watu wote bila kubagua mtu. Kambarage aliwafanyizia wote waliokuwa na mawazo tofauti. (Kambona, Mtei, Mapalala etc).
Mandela alikuwa anashaurika na anaambilika. Kambarage alikuwa hashauriki wala haambiliki.
Mandela hakutaka kuwatesa watu na siasa uchwara za ujamaa na kujitegemea. Kambarage alituletea balaa kiuchumi. Hata Colgate ama soda ilikuwa ni luxury item kwa watanzania!!
Mandela hakuwalazimisha watu kuhama kwenye makazi yao. Kambarage aliwalazimisha watu kuhama bila ridhaa yao.
Mandela hakuwa mnafiki. Kambarage alisababisha vita ili amrudishe swahiba wake Milton Obote madarakani.
Mandela alikuwa rafiki kwa wote na hata wale waliompinga. Kambarage aliwachukia waliokuwa maadui zake i.e.chief Fundikira, Kambona, Mtei, Kassanga Tumbo.
Mandela hakutaka vita bali amani. Kambarage alijiingiza kwenye vita na kuwaita majirani zake nduli. (Idd Amin/Biafra/Banda)
Mandela alitawala kipindi kimoja. Kambarage alikaa miaka 30 madarakani.
Mandela alijali free enterprise economy. Kambarage alitaka African socialism ambayo haikutekelezeka hadi leo.
Mandela alijali vyama vingi na wapinzani. Kambarage aliogopa na hakutaka multipartism wala kusikia wapinzani hadi alipotoka.
Mandela aliwapenda viongozi wote barani Africa. Kambarage alikuwa na siasa za makundi na majungu na hakuheshimu sovereignity ya nchi nyingine (alitaka kumrudisha Obote wakati alikuwa sio raisi wa Uganda, alimsupport Ojukwu na Biafra).
Mandela alipenda ku-reason na watu hata opponents wake. Kambarage aliwatisha opponents wake.
Mandela hakutishika wala kuwaogopa machifu wa makabila mengine. Kambarage aliogopa na kuwapiga marufuku machifu wa makabila mengine nlakini akamwacha chifu wa kabila lake tu (Chief Wanzagi).
Mandela haku-take sides. Nyerere alikumbatia Warsaw pact during the cold war.
Mandela alitaka uhuru wa kisiasa na kiuchumi. Nyerere alipinga uhuru wa kisiasa wala kiuchumi na kutusababishia majanga e.g. bidhaa ziliadimika kiasi cha kwamba hata kumiliki mafuta ya Kimbo au TV ilikuwa ni kuhujumu uchumi.

cc: Faiza Fox, Kiranga, EMT, Nyani Ngabu, Kobelo, Ritz

Mkuu umemaliza kila kitu, Mandela hakuwa dictator, Kambarage alikuwa dictator.
 
Back
Top Bottom