Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Unakujua anakostahili kuwepo man u?
 
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili

ingeanza kushuka madrid kwa zile sajili zake pia manchester sio mara yake ya kwanza kununua mchezaj kwa pesa ndefu
 
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
No admit kua man watajuta kpeleka oT mourihno
 
1469685999228.jpg
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
 
Issue ya muhimu ni kuwa klabu ina uwezo wa kutoa hiyo hela.Issue ya kuvunja rekodi Manchester United haiepukiki kwa sasa msimu uliopita walipeleka dau Bayern Munich kwa Tomas Muller ambayo lingevunja rekodi ya uhamisho lakini Bayern na Muller wakakataa.Na kocha ndio anapendekeza mchezaji wa kumsajili Mourinho anamtaka Pogba ,second option ndio Matuidi
 
What's the fuss with Martial?!?
Has he (personally) said to be saddened with jersey no. 9 taken from him?

On a serious note, at Man United jersey no. 11 is way legendary than no. 9. So, I wonder where this story is coming from? I believe is a social media created fuss.

Sasa huyu ndio shabiki wa kweli
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili

Mkuu mbona swala ili la pesa ya Pogba lishajibiwa humu kitambo, na jibu lilikua rahisi sana mkuu "vipi hiyo hela inatoka mfukoni kwako au unapungukiwa nini akinunuliwa kwa gharama kubwa..??"
 
Hakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa Complicated

Afu pressure atakayokuwa nayo Pogba itakuwa beyond madness

Pricetag inaletaga extra pressure kwa mchezaji maana expectation inakuwa kubwa sana kwake....
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili

Hivi timu yako haijafanya usajili? Kla sku kufatilia habari za Man U tu
 
Hakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa Complicated

Afu pressure atakayokuwa nayo Pogba itakuwa beyond madness

Pricetag inaletaga extra pressure kwa mchezaji maana expectation inakuwa kubwa sana kwake....
Kocha anamtaka Pogba na klabu inayo hela ya kumnunua ,sasa unataka Matuidi asajiliwe na nani ? Pesa sio issue kwa Man United
 
Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??

Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....

Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
 
Mmh...
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili

sasa wewe club ya 3 kwa utajiri duniani hizo pesa matumizi yake yanakwenda wapi? hivyo vilio ni vya watu wa arsenal, liverpool, stok city , stand united na mwadui fc

Acha pesa itumike unapokuwa na mchezaji wa gharama hata value ya club inapanda ule sio uwanja wa kina xhaka na benteke.
 
Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??

Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....

Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee

mshindi wa ngao ya hisani anashiriki kombe gani? hata mapato yanayopatikana pesa zinakwenda kuhudumia jamii washinde wasishinde haina mantiki hata moyes alibeba ngao ya jamii

pia nataka kukuambia kitu manchester united ni sehemu ya makombe pamoja na kuyumba kwao na makocha wabovu bado wanainua makwapa na vikombe vidogo kuna wengine wanaisotea hata miaka mi nne ngao ya jamii
 
Back
Top Bottom