Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??

Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....

Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
Msagasumu at work!!!! ...... poleeeee si kwetu hainaga ------- tunakulaga!!!
 
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Hivi Wenger in or out?......... mume wa Mimi missing you much next season utahama nyumba
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Mi ni shabiki wa utd na sikubalian na hii kitu kabisa
 
Mkuu mbona swala ili la pesa ya Pogba lishajibiwa humu kitambo, na jibu lilikua rahisi sana mkuu "vipi hiyo hela inatoka mfukoni kwako au unapungukiwa nini akinunuliwa kwa gharama kubwa..??"
Wanaumizwa na mambo yetu kuliko ya kwao haya mahaba ya ajabu sana.
 
Hakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa Complicated

Afu pressure atakayokuwa nayo Pogba itakuwa beyond madness

Pricetag inaletaga extra pressure kwa mchezaji maana expectation inakuwa kubwa sana kwake....
You have got a point bro, tatizo sio uwezo wa Utd kifendha, ila reality hiyo ni a lot of money.

Na hiyo issue ya pressure ni kweli, 'hope' awze Ku cope nayo.

#GGMU
 
Pogba namkubali sana, pili pesa sitoi mfukoni kwangu lakini hiyo pesa ni nyingi MNO kwakweli, Tuangalie option nyingine
Ni kweli mkuu, kukubali kutoa huo mzigo wote pia kunaweza kuleta matatizo hata katika contracts zinazofuata.

Timu ikiona Utd wanaonesha interest lazima waweke price tag kubwa, coz wanajua Utd they have got money na hawana shida Ku spend.

Hata kama hela ipo, baadae tutakuja kuuziwa average player kabisa kwa hela ya kishenz..
 
Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??

Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....

Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
Unawaita 'vibonde' afu unasema unawakubali.. Hahah
 
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure

Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho

So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil

bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil

Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??

£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi

My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili

Enough said...
 
Breaking: Pogba is set to have medical in miami this afternoon after following his agreement last night with his agent . (Sky source)
 
Back
Top Bottom