Mamilioni yachotwatwa nssf kupelekwa kwenye ajali ya meli znz.

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii
pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.
 
Hilo tunalifahamu siku nyingi na sio leo kwa ajili ya meli. Fedha nyingi ilichukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma na miradi mingine.
Nachowasihi serikali msitunge sheria za kugandamiza mfanyakazi ambaye analipa kodi kubwa kwa mwaka kupitia pay ass you earn na kama mtumiaji wa bidhaa wa mwisho ni mlipa kodi kwa kila anachonunua. KODI HIZO ZINAWATOSHA. NSSF TUACHIENI NI HAKI ZETU.
Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii
pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.
 
Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii
pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.

Sijali kama hii habari ni ya kweli sababu hakuna chanzo cha habari.
Huu msamiati wa serikali haina hela hauniingii akilini kabisa! Sasa kama haina hela hizi akiba za wanyonge ndio za kutumia?! Nachelea kuwa serikali ikishatumia kurudisha itakuwa historia maana mifano iko mingi. Na hii sheria waliyojitungia inayotukataza kudai mafao yetu kabla hatujatembea na mkongojo ndio siielewi kabisa.! Au ndio uchochoro/ simple solition serikali inatumia kufuja mafao yetu?
Chondechonde serikali na akiba yangu ya uzeeni, tutaja onana wabaya mbeleni!!
 
zazn%20pole.jpg

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi , akizungumza na Meneja Mahusiano wa Shirika la Hifadhi ya Jamii kwa Mashirika ya Umma (PPF), Lulu Mengele, aliyefika Zanzibar kutoa mkono wa pole kwa niaba ya uongozi wa mfuko huo na wafanyakazi kufuatia ajali ya boti ya Skagit iliyotokea Julai 18, mwaka huu. PPF imetoa hundi ya Sh. 5,000,000 kama pole.
 
Back
Top Bottom