Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Lizzy!Nimekukubali kwa hii tathmin uliyoiweka hapa, mie bado niko single na napata taabu sana kumpata wa kuungana nae mwili uwe mmoja.Ninaovutiwa nao kwa sura/pamba/elimu au mapenzi ya dhati unakuta hawajui kupika.Lakini nimekutana na wachache ambao sina mpango nao kivile(mapozeo) huwa nashangaa, ukimualika gheto ni kosa, anafanya kweli misosi, tena hata anapokuta mapungufu gheto ana saidia ushauri wa nini kifanyike kwa gharama nafuu na kweli mambo huwa MUSWANO! Tatizo anakua sio chaguo ila most of them wa namna hii huwa nawamiss kwa kweli. Wakati mwingine anakua tait na pilika zake za mihangaiko ya siku mnakutana usiku (labda saa 3), mie niko hoi sijala na yeye pia, napendekeza twende sehemu tukagonge kihepe cha fasta ili tuwahi kulala coz wote tumechoka, unashangaa anakwambia haina haja mbona humu ndani kuna hiki na kile, pumzika hapo kwa tivii dakika chache msosi utakua poa hamna haja ya kutoka. Kweli Mwanangu dakika chache nasinzia kwa kochi ananistua na bonge la menyu ambalo hata sikuliwazia maishani. Napata menyu hadi nahisi mwili umegain weight.Lakini hawa wengine ninaowatamani wawe wangu milele, wananichanganya tu na SNEII zao za kuungaunga hapo YUDII utasikia ''lets drive dia tukachukue take way....ma...ta....ko yako...!! Sio wewe Lizzy ni hao wadada wa VIJINSI wanakera bana aghaaaaaa....mie nimechoka bado unaendelea lets drive dia!
Hahahahahaa....SA una haja ya kuangalia tena vigezo vyako.Hao wanaojua kupika wanakua na matatizo gani?!Kama yanarekebishika wajuzi uone itakuaje....hata hao kinaTAKE AWAY waulize wanafikiria nini kuhusu kujifunza kupika maana hamwezi kula take away maisha yote.Hiyo inatakiwa iwe mara moja moja tu...msosi wa nyumbani ndio mpango mzima!!
 
Dah! nalo neno
 
Mie naomba nifundishwe jinsi ya kutengeneza pilipili/chachandu, (sijui ndio inaitwa achali).. plzzzz anaejua anipe recipe!
 
Lizzy!Nimekukubali kwa hii tathmin uliyoiweka hapa, mie bado niko single na napata taabu sana kumpata wa kuungana nae mwili uwe mmoja.Ninaovutiwa nao kwa sura/pamba/elimu au mapenzi ya dhati unakuta hawajui kupika.Lakini nimekutana na wachache ambao sina mpango nao kivile(mapozeo) huwa nashangaa, ukimualika gheto ni kosa, anafanya kweli misosi, tena hata anapokuta mapungufu gheto ana saidia ushauri wa nini kifanyike kwa gharama nafuu na kweli mambo huwa MUSWANO! Tatizo anakua sio chaguo ila most of them wa namna hii huwa nawamiss kwa kweli. Wakati mwingine anakua tait na pilika zake za mihangaiko ya siku mnakutana usiku (labda saa 3), mie niko hoi sijala na yeye pia, napendekeza twende sehemu tukagonge kihepe cha fasta ili tuwahi kulala coz wote tumechoka, unashangaa anakwambia haina haja mbona humu ndani kuna hiki na kile, pumzika hapo kwa tivii dakika chache msosi utakua poa hamna haja ya kutoka. Kweli Mwanangu dakika chache nasinzia kwa kochi ananistua na bonge la menyu ambalo hata sikuliwazia maishani. Napata menyu hadi nahisi mwili umegain weight.Lakini hawa wengine ninaowatamani wawe wangu milele, wananichanganya tu na SNEII zao za kuungaunga hapo YUDII utasikia ''lets drive dia tukachukue take way....ma...ta....ko yako...!! Sio wewe Lizzy ni hao wadada wa VIJINSI wanakera bana aghaaaaaa....mie nimechoka bado unaendelea lets drive dia!
Ndio maana kuna wa kutumia, na wife material, shauri yako utajuta kwa uvivu wa kuchagua, hujawahi enda beach week end unakutana na bonge la handsome na watoto na mkewe unashangaa unasema mbona hawaendani, ila aliangalia huyu unafaa kuolewaaa? akaona yule aliye nae ndio anavigezo vya kuwa mke
 
ha haa haaaa! loh Lizzy nimekubamba kumbe we' ni wa Tanga, sa' mbona ulikua kimya, teh teeh teeeeh ila akijaharibika kitu maana napendaga mapishi kama hayoooooo!!
 
We Kamkuki weee...nani alikudanganya kwamba watu wa Tanga tu ndo wanaojua na kupenda mapishi?!Njoo uchagga ni uone mambo!
 
attachment.php

Jamani Lizzy mifuta yote hii wewe ndiyo waona maakuli hayo?......................it is too yak.............................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom