Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Bwana Mziwanda, hayo yote uliyoyaelezea ni uongo mtupu??! Sijui hata hizo info umezitolea wapi?
-kwanza kabisa nyumbu haitwi wild beast? Bali anaitwa wildebeest.
-pia hana michilizi kama ya punda milia,kwani punda milia michilizi yake(stripes)ni Nyeusi na nyeupe.
-kwa jina jingine haitwi zero brain hilo jina umembatiza wewe tu.
- kwa taarifa yako wanyama wanaoliwa(herbivores) hawawaogopi wanyama wanaokula nyama(carnivores) kwani wameishi pamoja miaka nenda rudi.unapomuona nyumba kamkimbia simba na mbele kidogo anasimama haimaanishi kuwa amesahau bali wanachofanya huwa ni ku keep distance ambayo atajiona kuwa yuko salama kwani simba anapotaka kuwinda huwa kuna sign ambazo hawezi kuzificha zitakazo muonyesha mliwa kuwa yuko hatarini hivyo uamuzi wa mliwa ni either kukimbia au kuzidi ku keep distance. Na signal anazo zionyesha simba ni pamoja na concentration, shorten distance,squatting nk. Kwa kufanya hvyo mliwa lazima achukue tahadhali.lkn kama simba anapita zake bila kuonyesha moja ya signal hizo basi huyu mliwa hana haja ya kukimbia kwani wanajuana tokea zamani sna.simba akiwa na njaa ni lazima aonyeshe signal hizo nilizozitaja hapo juu.
- pia pembe hizo sio za nyati bali ni za nyumbu mwenyewe ila zinataka kufanana na za nyati.

Kwa faida ya wengine pia. Huyu nyumbu sifa yake nyingine ni pamoja na kuwa na uwezo wa ku locate mvua umbali ka km 50.wakisha jua hilo eneo linamvua bali huama na kuelekea huko na ndio sababu kati ya maajabu ya dunia kwa Tanzania tuna uhamaji wa nyumbu(wildebeest migration)ambao huama kutoka mbuga ya serengeti na kuelekea Masai mara(Kenya) na idadi yao wahamapo yapata nyumbu milion 3 pamoja na punda milia.
-pia umbali wanao zunguka kuhama eneo moja kwenda jingine wanakimbia umbali wa km 5000(elfu tano) ili kukamilisha mzunguko wote.
-sababu inayowafanya wahame ni utafutaji wa chakula, maji na malisho mazuri.
-nyumbu hawezi fanana na fisi hata sku moja

Karibuni wadau kuhusu kuuliza swali lolote kuhusu wanyama wa porini na sifa zao. View attachment 210146View attachment 210148

apo kwenye kutoogopana ndo kuna swali, kweli nyumbu hamwogopi simba? sasa huwa wanakimbia nini? kizazi cha nyumbu kiko vp? je wanazaana kwa msimu au ni rapid?
 
umbile la
Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana
maumbile ya wanyama kadhaa.
1. Miguu
ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. mkia ni umbile la Farasi;
3. michirizi ya
Pundamilia;
4. pembe ni za Nyati;
5.ndevu
ni za Pofu;
6. nywele za mgongoni ni za
pundamilia.
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
Very amazing story

images
images
Tembea+Tanzania+pofu.JPG
images
images


Ili kuleta ladha nzuri ya mada yako ungetuletea hapa picha za mnyama huyo na wanyama wanaofanana kama picha nilizokutoholea hapa. Jaribu kutengeneza mada yenye kukidhi kiwango maana si wote wanaowajua au kuwahi kuwaona wanyama wote ulioelezea.
 
Yani hizo comment zote na hamjajua mnajadili kitu tofauti? Wild beast sio nyumbu, wildbeest ndio Gnu au nyumbu..Conochaetus taurinus au Taurinus taurinus (myself, 2014)

Next time mtoa mada uwe unaandika vzr majina & ukiweka na rejea itakua vzr
 
umbile la
Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana
maumbile ya wanyama kadhaa.
1. Miguu
ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. mkia ni umbile la Farasi;
3. michirizi ya
Pundamilia;
4. pembe ni za Nyati;
5.ndevu
ni za Pofu;
6. nywele za mgongoni ni za
pundamilia.
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
Very amazing story

angekuwa mtu angekuwa mwana ukawa
 
Nasikia Nyumbu ana uwezo wa kuhairisha kuzaa mtoto kama mazingira si mazuri.Wadau wa wanyama pori ebu niwekeni sawa kama hili jambo ni kweli au ni story za mtaani.
 
Kumbe nyumbu na goilikipa wa Brazil kwa World cup 2014 hawapishani sana, hawashikagi kitu.
 
chengne cha ajabu huwa wanazaa kpnd flan hv,ikifika muda wa kuhama kwenda mahal pengne watoto wote wanakua wamekomaa
 
Mkuu umenena kweli tupu, kwa nyongeza ni kwamba SAUTI YAKE NI SAUTI YA NGURUWE, Majina yake ni Wildbeast, Gnu (tamka 'nyu')
 
Mbugani kuna wanyama wengi sana kama tembo,chui,simba,twiga,nyumbu,mbwa mwitu nk. lakini ni mnyama yupi muoga kuliko wanyama wote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom