Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,805
Hivi pofu ndio mnyama gani nsaidieni kumfahamu...
Ni Eland........
Hivi pofu ndio mnyama gani nsaidieni kumfahamu...
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
y
Naweza mpata nikamfuga home?
Nasikia jicho lake ni kubwa kuliko kiwango cha ubongo wake!
Mi nilijua mwenye hizo beats ni huyu mjomba hapa.........
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
Sahihi kabisa subiri Manyumbu wa Tanzania watakavyo ipigia kura mijizi ya CCM ktk uchaguzi wa serikali za mitaa.Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
umbile la
Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana
maumbile ya wanyama kadhaa.
1. Miguu
ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. mkia ni umbile la Farasi;
3. michirizi ya
Pundamilia;
4. pembe ni za Nyati;
5.ndevu
ni za Pofu;
6. nywele za mgongoni ni za
pundamilia.
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
Very amazing story
Akifukuzwa anasahau kama alifukuzwa jana au leo sasa anaweza kurudi uelekeo wa adui na speed kali yule adui inabidi ampishe sababu anajua jamaa kaamua kupambana.
Hivi Kuna maduka/butcher zinapouzwa nyama poli kwa hapa Dar?...