Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

sirmudy

JF-Expert Member
May 12, 2010
386
119
Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi, usajili wa brela na mambo mengineyo muhimu.

Naombeniushauri juu ya hili.
 
Back
Top Bottom