Mambo haya uswahilini yanakera

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni. Akina dada wengine nao sijui vipi unakuta yupo na kanga moja mswaki mdomoni anaenda dukani au kwa jirani. Jamani tuwe wastaarabu, nimewahi fundishwa tendo la kupiga mswaki linahitaji ustaarabu na heshima kama lilivyo tendo la ndoa.......
 
Mi kuna dada huwa ananisumbua sana mlango wa pili utakuta katoka na khanga moja nyepesi inaonyesha kila kitu ndani na asubuhi hiyo unakuta kavaa chupi tu aidha nyeupe su nyekundu au nyeusi si kutiana majaribuni hivi?
 
Pole...
 
fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano :)
 
teh teh teh!
 
kuna jamaa anakuja kupigia mswaki kwenye uzio wa nyumba yangu.
Naogopa nkimwambia atasema namnyanyasa! Inabidi ukiwa uswaz usiwe na hasira za hovyo hovyo uepuke matatizo yasio muhim.
Wengi wamechanganyikiwa na mfumo uliopo wa maisha. Umagamba magamba.
 
fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano :)

aisee wewe ni creative....!!!
 
mwingine anapiga mswaki atafikiri anataka kujiua makelelele koooo, anakohoa kama kapaliwa, anatoa madamu dah, yaan uswazi kweli hapataki hasira, wakina mama nao asubhi asubuhi na kanga zao wengine maziwa nje yaani balaa tupu
 
Ahahahaaah!! Kweli uswazi hakuhitaji uwe na hasira...
 
Uswazi soo akina mama wanashinda masaa 12 na khanga MOKO tu huku kwingine ni ndembe ndembe!! Kuna baba mmoja jirani ni mjeda, yeye ni mwendo wa tumbo wazi na kikaptura tuu, msosi anapigia nje tuu ukipita wakati anag'ata utasikia karibuuu tujumuikee.
 
Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni. Akina dada wengine nao sijui vipi unakuta yupo na kanga moja mswaki mdomoni anaenda dukani au kwa jirani. Jamani tuwe wastaarabu, nimewahi fundishwa tendo la kupiga mswaki linahitaji ustaarabu na heshima kama lilivyo tendo la ndoa.......
Ingawa nakubaliana na wewe lakini hapo kwenye BOLD naomba tutofautiane kidogo..
 
vunja ukimya jirani, hiyo ni lugha ya ishara. kuna kitu anataka kukuambia ila sasa na ww unavaa sura ya kazi mno!

Mi kuna dada huwa ananisumbua sana mlango wa pili utakuta katoka na khanga moja nyepesi inaonyesha kila kitu ndani na asubuhi hiyo unakuta kavaa chupi tu aidha nyeupe su nyekundu au nyeusi si kutiana majaribuni hivi?
 
Uswahilini bana raha sana tunashuhudia mambo mengi sana mazuri,mara shanga mara mapaja mara nyonyo,yaani ni burudani tu,uzunguni mambo mazuri kama haya huyapati.
 
Uswazi soo akina mama wanashinda masaa 12 na khanga MOKO tu huku kwingine ni ndembe ndembe!! Kuna baba mmoja jirani ni mjeda, yeye ni mwendo wa tumbo wazi na kikaptura tuu, msosi anapigia nje tuu ukipita wakati anag'ata utasikia karibuuu tujumuikee.
duh!huyo mbaba ana roho nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom