Mambo haya uswahilini yanakera

uswahili raha sana nyie hamjui tu ndio maana mnalalamika, ukiona hivyo umetokea mkoani kwahiyo ukafikizia uswahili.otherwise tuulize wenyewe raha yake ikoje. im home sick
 
tuwekee picha kaka tu proove sio unaweka maneno matupu


Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni. Akina dada wengine nao sijui vipi unakuta yupo na kanga moja mswaki mdomoni anaenda dukani au kwa jirani. Jamani tuwe wastaarabu, nimewahi fundishwa tendo la kupiga mswaki linahitaji ustaarabu na heshima kama lilivyo tendo la ndoa.......
 
utakuta jibaba limefunga kataulo tu, tumbo kubwaaa, kitambi c kitambi, halafu na mswaki na maji kwenye
kikombe mbele ya watu bila aibu linagongea maji ya mswaki kwa jirani?
 
utakuta jibaba limefunga kataulo tu, tumbo kubwaaa, kitambi c kitambi, halafu na mswaki na maji kwenyekikombe mbele ya watu bila aibu linagongea maji ya mswaki kwa jirani?
Ahahaaah!!! Hii ya kugongea maji ya mswaki kwa jirani nayo kali aisee.....yaani uswazi kuna vituko!!
 
Polen sana,inabidi cku moja niwakaribishe huku kwe2 masaki...
 
uswahili raha sana nyie hamjui tu ndio maana mnalalamika, ukiona hivyo umetokea mkoani kwahiyo ukafikizia uswahili.otherwise tuulize wenyewe raha yake ikoje. im home sick


mubada kwani we unafikiri mkoani hauna uswazi? kila mkoa una mitaa ya inayoitwa uswazi,uhindini, uzunguni teh teh teh
 
Huwa nakereka mtu akiingia msalani anatumia mda mrefu kukata gogo,anafunga mtaa kwa harufu mbayaaa
 
kuna siku niliona mbagala, saa tatu usiku jamaa anakatiza na taulo kiunoni,kifua wazi sijui alikuwa anaenda dukani? mambo ya free style!
Alikua anaend kununua condom mazee....c unajua hakuna appointment uswazi, mtoto unamtongoza anakupigia hodi baada ya lisa...kwahio hakutegemea kupata haraka hivyo, na condom zilikua zimeisha akagundua akiwa kesha vua nguo ikabidi akimbie grocery kupata kinga/...lol

Licha ya kukaa dirishani pia unatumika zaidi ya miezi sita!
Mswaki uswaz kubadilisha mpaka uishe kabisa zile uzi....sio kwenu huko unabadilisha kila baada ya muezi au miezi kadha..
 
Alikua anaend kununua condom mazee....c unajua hakuna appointment uswazi, mtoto unamtongoza anakupigia hodi baada ya lisa...kwahio hakutegemea kupata haraka hivyo, na condom zilikua zimeisha akagundua akiwa kesha vua nguo ikabidi akimbie grocery kupata kinga/...lolMswaki uswaz kubadilisha mpaka uishe kabisa zile uzi....sio kwenu huko unabadilisha kila baada ya muezi au miezi kadha..
Ahahahahaah!!!
 
Kaaazi kweli kweli.....
[video=youtube_share;yOlYOGFoMz0]http://youtu.be/yOlYOGFoMz0[/video]​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom