Mama yetu adhalilishwa

Sasa hapo kadhalilishwa na nani? Amedhalilishwa au ametudhalilisha? Kweli mmama mtu mzima namna hiyo kuvua nguo kwenye ngoma, mbele ya watoto, halafu tusimame kumtetea kwamba kwa kuwekwa kwenye gazeti amedhalilishwa. Hilo sikubaliani kabisa. Mahali pekee ambapo huwa haya magazeti yanaboa ni pale yanapowafuata watu guest na kuwapiga picha na kuweka kwenye magazeti. Au mtu kapiga picha zake za utupu kwa malengo yake binafsi, magazeti yakizipata yanaibuka nazo. That is invasion of individual privacy. Mtu hadi akaenda guest akajifungia ina maana hajataka anayoyafanya huko yawe wazi. Lakini huyu anayefunua nguo mwenyewe mbele za watu wote waliojaa hapo, si ni dhahiri mwenyewe anataka iwe hivyo?
 
ny65x5.jpg

Jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab Lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....
hahahah umenukumbusha kampeni za ubunge IGUNGA!
 
unajua wakat mwingine mi huwa nashangaa sana akili za watanzania.wewe unadai kazalilishwa na wanaudaku kwa kupigwa picha kwenye magazeti wakati huo huo wewe unaamua kumwanika ktk jamii forum.nawe acha udhalilishaji basi,ingekua mamayo ungeiweka tena humu JF?
 
Anadhalilishwa au kajidhalilisha? kafanya kwa matakwa yake mwenyewe inavyooshesha, kama anapenda kufanya hivyo hata akisimamiwa na haki za binadamu, sijui haki za wanawake bado ataendelea tu coz ni tabia yake.
 
Nimeshindwa kukuelewa una maana gani kulaumu aliyepiga picha,wkati huyo mama kajifunua mwenyewe tene mbele ya watoto wadogo,pili anaonekana anafurahia...unless una tatizo na Global publisher nikae pembeni..Acha kulaumu hovyo bhene,jipange...Alaumiwe huyo mama anayewathalilisha wenzieLook the coin in both sides
 
ny65x5.jpg

Jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab Lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....

Mie naona mizuka mingine siyo!
 
dah! watoto wa town bwana!yani hapo macho yao yote yapo chini ya hilo tu mbo. shida yao kubwa waone bwambwa tu basi hakuna jengine hapo ati!
 
ny65x5.jpg

Jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab Lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....
Sasa ww unalaumu nani? huoni yeye mwenyewe anainjoi hiyo hali! jitu zima kujifunua nguo mbele za watu bila aibu! kajidhalilisha mwenyewe!
 
Mbona beach wanawake wanakuwa na chupi na sidiria tu.
Na huko Beach kuna watototo na wanaume.

Hiyo ni kweli kabisa, alafu katika hiyo picha nilifikiri amefunuliwa kama ilivyotokea kule Igunga.

Kumbe kafunua mwenyewe kwa raha zake??? Nafikiri muanzilishi wa thread angesema akina mama mnatuzalilisha kwa matendo yenu labda ingeleta maana, coz hapo sasa jamii inamsaidiaje wakati yeye mwenyewe ndio kajiachilia....
 
Kungu+bia=shame kajizaliliza peke yake,pia mwanamke mwenye sifa ya mama asingefanya hivyo na waliopo hapo wengine ni sawa wanae.
 
ny65x5.jpg

Jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab Lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....

Mama zangu wana staha,sio kama hilo guberi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom