The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
Adabu inahusika!
Kwani lazima kuwa na lugha kama hii?
nimejaribu mno kusoma meseji ya hiyo note ya avatar yako nimeshindwa
unaweza saidia?
Adabu inahusika!
Kwani lazima kuwa na lugha kama hii?
nimejaribu mno kusoma meseji ya hiyo note ya avatar yako nimeshindwa
unaweza saidia?
Yes...inasema hivi:
"DONT DO SOMETHING PERMANENTLY STUPID JUST BECAUSE YOU ARE TEMPORARILY UPSET"
HAPO VIPI?
Naomba kuuliza kwa sababu wengine tuna uhusiano na wanawake wenye watoto wanaolingana umri na sisi au wanatuzidi kidogo au tunawazidi kidogo
kama Baba yako labda alifariki au ulilelewa na single parent au wazazi wako wameachana halafu ikatokea unaishi na mama yako au unamtembelea mara kwa mara na ikatokea kuna lijamaa mara nyingi linakuwa na mama yako beneti,yaani muda wote wamegandana japo huambiwi chochote kuhusu huyo jamaa lakini common sense itakuambia huyu jamaa ananitafunia mama yangu
utafanya nini utamchukia jamaa utampiga mkwara kama mama hayupo au utamweshimu au utamezea na kujifanya hakuna kitu kinaendelea?
kama una ndugu zako wengine wa kuzaliwa na nyie wote ni mature utaongea nao either kuwapigia au kwa kutania na kuuliza huyu jamaa anayekuwa na mama ni nani?
je utaendelea kumweshimu mama yako?halafu ikitokea siku ukaamka usiku ukasikia miguno kutoka chumbani mwa mama utafanya nini???da!

Hii nayo kali...nimecheka! Hata nikiwa mie hapo lazima pachimbike aisee!Aisee inategemea na umri na mahusino uliyokua nayo na huyo mjamaa wa mamayako before hawajakua wapenzi....
Mfano...kijana labda anasoma Chuo hapo UDSM, anakaa mbezi beach..hapo chuo kakutana na msongo mmoja katoka huko kanda za ziwa..yaaani ni msongo haswaaa... chuo kinafungwa unamkaribisha jamaa home angalau atoe stress kidogo kabla ya kurudi huko bush kwao...... sasa jamaa kwa kuwa ni msongo mama anammpenda na anakusihi ufate nyendo zake....mama anasisitiza kijana asubiri tu mpaka chuo kifunguliwe....maisha yanaenda chuo kinafunguliwa mnarudi hostel chuo.... mara jamaa unaona anabadilika kimavazi...mpaka kimanukato..anakotoa pesa hujui.......Na maranyingi weekend huwa akitoka anakuambia anarudi usitoke na ikifika usiku anakupigia kukutaarifu kuna demu kampata hivyo amembana hatarudi tena...... siku moja jpili unarudi home asubui na mapema ili uwai chai.... kabaaah! jamaa huyo kakaa sofani kifua wazi na kipensi huku maza kamlalia mapajani wanawatch CNN news..
na story hapo chuo mshkaji ana mashine kubwa balaaa..wamempajina la utani "mguu wamtoto"..
Hehehe lazima fujo tokee aisee..du!
Kuchapiwa mama mzazi inauma sana tuongee ukweli
Kwa jinsi nimpendavyo mama yangu huyo jamaa ntamtafutia watu wakumla 0713 hadi akashonwe hospitali ..nyambaf!
mi wala sijaona!!kama mother mashine inadai kwa nini asiitumie!!!Umeona eh