Nilivyokutana na Esta kijijini Mkola

Kadagaa

Member
Jan 24, 2018
9
17
NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA.

Hali ya hewa Ilikuwa inafika nyuzi joto 10C hadi 12C. Ni kipindi Cha baridi, tena baridi kweli, halafu unaambiwa angalau huku ndani ndani, huko Mbeya mjini ngoma inasoma hadi nyuzi 4C....Hili ni jokofu 🤭

Nyakati hizi za baridi kila mtu ungemuona na Sweta mwilini, watoto kwa wakubwa, wake kwa waume. Mimi nikiwa miongoni mwao.

Ni Saa mbili asubuhi. Katika barabara ya Lupa.Nimevaa Sweta nipo kwenye 'chopa' nabadili gia, navuta moto, chombo kina pepea.

Ninako kwenda ni Plant. Nakwenda kufanya nini na ni plant kwa nani? Hilo halikuhusu......

Naendesha pikipiki kichwa changu kikipitiwa na jazanda ya mambo chungu nzima ya kimaisha. Mara mbili Sehemu tofauti almanusra nianguke na chopa.

Maisha haya bwana. Acheni tu.

Nimefika kijiji Cha Mkola. Na wakati nafika hapa nika punguza mwendo wa chopa... unajua ni kwa nini?

Kuna Kumbukumbu ya Bi mkubwa (mama Ally) ilinijia akilini.

Mama amewahi kuniasa kwa sauti ya kusisitiza, niepukane na mambo mawili katika kipindi chote Cha ukubwa wangu....

Kwanza kesi, pili afya.....naikumbuka sauti yake, sauti ya mama yenye ukarimu wa kike na upendo wa mwanamke asiye na chembe ya hila. Aliniambia akisema:

"Katika nyakati ngumu epuka mambo mawili. kwanza kesi, na pili, linda afya yako. Mambo yote haya yanaweza kupoteza muda na kuhaaribu mustakabali wa kesho yako, Ally..

Lakini vitu vyote hivi, msingi wake ni uaminifu, nidhamu na maarifa ulio nayo...."

mwisho wa kunukuu...

Yanii mama yangu bwana, kama vile msomi wa ngazi ya juu ya elimu, kumbe masikini ya Mungu ni la Saba tu, tena la Saba lenyewe la pale shule ya msingi Nguruka, mwalimu wake nasikia alikuwa mzee mmoja anaitwa mzee Kafugugu,... any way, hadithi ya maisha ya mama tuiweke kando, hata hivyo namshukuru Mungu kwa kunipa mama kama huyu. 🤝

Tuendelee na story ya Esta sasa....

Nilipofika center ya kijiji Cha Mkola napunguza mwendo wa chopa, nisije gonga mtoto wa watu nikaumia kisha nikapata kesi. Ushauri wa mama lazima uzingatiwe.🤝

Naipita center ya kijiji Cha Mkola salama kabisa, kilometer kama mbili hivi, mbele yangu, mara napigwa mkono na mwanamke....

Hapana sio mwanamke....Huyu ni msichana tena kigori mwenye chuchu zilizo simama wima kama maembe sindano ya huko Tabora, Igalula, ndani ndani.....

Nasimamisha chombo ukingoni mwa barabara, karibu na msichana mweupe, aliyejaliwa macho makubwa ya kulegea, mwembamba, kichwani ana nywele nyeusi zimeangukia mgongoni

Halafu juu ya macho yake makubwa Kuna Nyusi nyingi amezichonga na kutia wanja mwembamba na kope kama za mdori...kwa hakika huyu ni Moja ya wasichana wenye sura nzuri niliowahi kuwaona.

"Samahani kaka, habari yako?" alinisalimia.
sauti yake Ilikuwa laini inatokea puani...

"Salama kabisa, vipi?"

"Nakwenda Stamiko, Bahati mbaya, nimempoteza fedha je unaweza kunipa lifti?"

"Jina lako unaitwa nani?"

Nikamuuliza kabla ya kujibu rai yake, lazma uhoji msichana mzuri kama yule porini, anaweza kuwa ni Jini Maimuna.🤣

"Esta," akanijibu.

"Unatoka wapi?"

"Natoka Kwa bibi, sasa narudi nyumbani. Je unaweza kunisaidia lifti?

"Bila shaka, panda tuishie zetu, Esta."

Nawezaje kumkatalia kiumbe mrembo kama huyu, kwanza ni dhambi...Mungu mwenyewe alimpenda Esta, ndio Maana akamuumba mrembo, halafu Ally Katalambula ni nani nijifanye sijui hilo.😪

Msichana akapanda pikipiki, halafu mwanaume nikapiga kiki Ili kuwasha chombo tuondoke.

Heeeee pikipiki si ikagoma..

Nikapiga tena kiki mfululizo....wapi, pikipiki ikagoma kuwaka

Eboo!!!!

Nikarudia tena mara tatu mfululizo, lakini wapi, chombo kinashindwa kunifichia aibu mbele ya msichana mweupe. Esta.

"Hebu shuka kidogo."

Anateremka, anasimama kando. Halafu mwanaume naendelea kupiga kiki,..ajabu ya Musa, mashine inanigomea kabisa, haitaki masikhara.

Katika nyakati hizo hizo Inakuja pikipiki nyingine, msichana anaipiga mkono, Jamaa anasimama. Binti anaomba lifti, Jamaa bila hata kuuliza jina lake, anamtizama mara Moja Esta, analamba lips kisha anamwambia panda twende mrembo.

Esta wa Stamiko anakwea pikipiki, haoo wanaishia zao...Nabakia nimeduwaa mambo yametoka harakaharaka.

Narudi kwenye chopa. Napiga kiki Moja, chombo inaunguruma na kuwaka..

Ni wazi pikipiki yangu ina majini. au Esta cheupe ndio alikuwa Jini., sijui.

Naishia zangu kuendelea na mitikasi yangu ya kutafuta mkate..

Esta ni mzuri, fine, but Mimi ni mchumba halali wa Msichana mmoja jina lake Nasra...

Ambaye amenizalia watoto wawili wazuri wa kike, mmoja anaitwa Salma mwingine anasitwa Falhati...Esta wa Stamiko atajijua yeye na dereva pikipiki huko waliko kwenda.

Kwa kuhitimisha hivyo ndivyo NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA.
 
NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA.

Hali ya hewa Ilikuwa inafika nyuzi joto 10C hadi 12C. Ni kipindi Cha baridi, tena baridi kweli, halafu unaambiwa angalau huku ndani ndani, huko Mbeya mjini ngoma inasoma hadi nyuzi 4C....Hili ni jokofu

Nyakati hizi za baridi kila mtu ungemuona na Sweta mwilini, watoto kwa wakubwa, wake kwa waume. Mimi nikiwa miongoni mwao.

Ni Saa mbili asubuhi. Katika barabara ya Lupa.Nimevaa Sweta nipo kwenye 'chopa' nabadili gia, navuta moto, chombo kina pepea.

Ninako kwenda ni Plant. Nakwenda kufanya nini na ni plant kwa nani? Hilo halikuhusu......

Naendesha pikipiki kichwa changu kikipitiwa na jazanda ya mambo chungu nzima ya kimaisha. Mara mbili Sehemu tofauti almanusra nianguke na chopa.

Maisha haya bwana. Acheni tu.

Nimefika kijiji Cha Mkola. Na wakati nafika hapa nika punguza mwendo wa chopa... unajua ni kwa nini?

Kuna Kumbukumbu ya Bi mkubwa (mama Ally) ilinijia akilini.

Mama amewahi kuniasa kwa sauti ya kusisitiza, niepukane na mambo mawili katika kipindi chote Cha ukubwa wangu....

Kwanza kesi, pili afya.....naikumbuka sauti yake, sauti ya mama yenye ukarimu wa kike na upendo wa mwanamke asiye na chembe ya hila. Aliniambia akisema:

"Katika nyakati ngumu epuka mambo mawili. kwanza kesi, na pili, linda afya yako. Mambo yote haya yanaweza kupoteza muda na kuhaaribu mustakabali wa kesho yako, Ally..

Lakini vitu vyote hivi, msingi wake ni uaminifu, nidhamu na maarifa ulio nayo...."

mwisho wa kunukuu...

Yanii mama yangu bwana, kama vile msomi wa ngazi ya juu ya elimu, kumbe masikini ya Mungu ni la Saba tu, tena la Saba lenyewe la pale shule ya msingi Nguruka, mwalimu wake nasikia alikuwa mzee mmoja anaitwa mzee Kafugugu,... any way, hadithi ya maisha ya mama tuiweke kando, hata hivyo namshukuru Mungu kwa kunipa mama kama huyu.

Tuendelee na story ya Esta sasa....

Nilipofika center ya kijiji Cha Mkola napunguza mwendo wa chopa, nisije gonga mtoto wa watu nikaumia kisha nikapata kesi. Ushauri wa mama lazima uzingatiwe.

Naipita center ya kijiji Cha Mkola salama kabisa, kilometer kama mbili hivi, mbele yangu, mara napigwa mkono na mwanamke....

Hapana sio mwanamke....Huyu ni msichana tena kigori mwenye chuchu zilizo simama wima kama maembe sindano ya huko Tabora, Igalula, ndani ndani.....

Nasimamisha chombo ukingoni mwa barabara, karibu na msichana mweupe, aliyejaliwa macho makubwa ya kulegea, mwembamba, kichwani ana nywele nyeusi zimeangukia mgongoni

Halafu juu ya macho yake makubwa Kuna Nyusi nyingi amezichonga na kutia wanja mwembamba na kope kama za mdori...kwa hakika huyu ni Moja ya wasichana wenye sura nzuri niliowahi kuwaona.

"Samahani kaka, habari yako?" alinisalimia.
sauti yake Ilikuwa laini inatokea puani...

"Salama kabisa, vipi?"

"Nakwenda Stamiko, Bahati mbaya, nimempoteza fedha je unaweza kunipa lifti?"

"Jina lako unaitwa nani?"

Nikamuuliza kabla ya kujibu rai yake, lazma uhoji msichana mzuri kama yule porini, anaweza kuwa ni Jini Maimuna.

"Esta," akanijibu.

"Unatoka wapi?"

"Natoka Kwa bibi, sasa narudi nyumbani. Je unaweza kunisaidia lifti?

"Bila shaka, panda tuishie zetu, Esta."

Nawezaje kumkatalia kiumbe mrembo kama huyu, kwanza ni dhambi...Mungu mwenyewe alimpenda Esta, ndio Maana akamuumba mrembo, halafu Ally Katalambula ni nani nijifanye sijui hilo.

Siku ukifika Mkwajuni nitafute mkuu tupige stori
 
ww ndo nn sa
 
Wanawake wengi waliopo mkola, stamico hadi ujerumani na makongolos pia wanajiuza sana kwa watu wa madini, na wengi wao ni makahaba kutoka kyela na singida
 
We jamaa umesababisha nionekane mwehu mbele za mke na watoto wangu. Nimecheka sana asubuhi hii.
 
Back
Top Bottom