Mama wa 51 years

Niko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?
Kweli daughter kwa hiyo point namba moja, kwa nini anakwepa sex ya mara kwa mara
 
hapo ina maana unaweza kuwa na jimama na huku unae mwingine
bila tabu,...unatoa dozi bila kuzidiwa lol

halafu hawana wivu pia,wako tayari kuwa wawili kwenye uhusiano...so hiyo pia..
Looooo huruki ukiniona muone kwanza,mbona vimama vingi tu vina wivu unasemaje havina wivu
labda chako tu hicho
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

Kijana tutajua vipi kama wewe sio 51 vilevile? au ndio unavizia urithi kisha wanae waje wakutoe mkuku.
 
Looooo huruki ukiniona muone kwanza,mbona vimama vingi tu vina wivu unasemaje havina wivu
labda chako tu hicho

niliwahi kumuacha mtu kwa ajili ya shangazi yake...na mpaka leo hajaamini...
we usijipe matumaini....mama yako atanivutia zaidi kuliko wewe..
 
Nilidhani ni kijana mdogo kumbe mtu mzima, endelea nae na ikiwezekana muoe kabisa!
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?
heh, kijana! sasa we unataka ushauri gani hapa? endelea kupiga mzigo bana, usisahau vilevile kutumia ile laini ya pili, ili kudumisha penzi!
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?
Akili za vijana wa karne hii mnazijua wenyewe!!Nadhani katika hili ungewaomba wazazi wako wakushauri.
 
Nilidhani ni kijana mdogo kumbe mtu mzima, endelea nae na ikiwezekana muoe kabisa!

Jamani huyu jamaa ndiyo nguvukazi ya taifa, kimsingi bado ni kijana mdogo basi tu ameamua kujitwisha mizigo mizito ndo mana mnamchukulia mtu mzima. daah nguvu kazi hiyooooo inapotea. Sijui kama alishagamuuliza huyo bibi ujana wake alikula na nani hadi uzee wake ale na yeye.

Tatizo vijana wa aina hii wemeshafanya maamuzi tayari mana drive kubwa kwao kutembea na vikongwe ni fedha za hawa wastaafu. so wapo kimaslahi zaidi na uvivu wa kupambana na maisha vijana ndio unaowacost. namtabeba kweli mizigo isiyo ya saiz yenu huko mbeleni.
 
Mkuu, Mbaula Litakuua Hilo, kwani saizi yako hakuna au unapenda kufananisha na ulipotokea wewe?
 
kwa hiyo huna mpango wa kuja kuoa na kuwa na familia yako? Au utamuoa huyo mama? Anyway age siyo ishu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom