Mama wa 51 years

Wewe umeoa au bado? Kama umeoa haifai na haipendezi kuharibu ndoa yako kwa sababu ya mama anayekuzidi Umri.
 
Blackbery vipi kama ukipata kijamaa halafu ukakitambulisha kwa mama yako then wakapendana!!thehehe utafanya nini??
wakati mwingine tukiwaangalia wazazi/walezi wetu tunawaona kama haya mambo hawafanyi tena yaani umri umepita ila ukisoma humu ndio unaanza kumwangalia na kujiuliza, nikikuta hivo sna jinsi nitaheshimu tu kwani ni uamuzi wake na yeye ni mtu mzima, ila nitaomba asiwe TB
 
blackberry na daughter....nawapa siri ya wamama....

1.hawapendi sex ya mara kwa mara..so few times wanatulia..
2.wanapenda kutulia,since ujana umewapita..
3.wanajua mambo mengi mno,yaani hata ukiwa kwenye mood ya ajabu hivi,wanaijua
wanakutuliza..
4.hawajali sana pesa,wanajali zaidi quality time,so hawana movement nyiingi za kutafuta life
5.......
6.hawatongozwi saana.so wana appreciate zaidi..
7....
 
Niko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?
 
kwa nn mpaka miaka 50 jamani, why
unaanzaje kum undress we ni kiboko
 
Niko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?
daughter embu tuongee chemba pulizz achana na huyu na mmama wake
 
Niko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?

hapo ina maana unaweza kuwa na jimama na huku unae mwingine
bila tabu,...unatoa dozi bila kuzidiwa lol

halafu hawana wivu pia,wako tayari kuwa wawili kwenye uhusiano...so hiyo pia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom