Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Shida watu wanamchukulia poa yule mama ila ana hela sio kitoto
IMG-20230519-WA0061.jpg
 
Mbona alipokuwa anaingiza milioni 1 mpaka 2 kwa siku alikuwa halalamiki?TRA si walikuwepo?Hakuweka akiba?Ni ujinga kutojiandaa wakati ukiwa na kipato kizuri na kuja kulalama na kutafuta wa kulaumiwa mambo yakibadilika.Asiangalie alipoangukia aangalie alipojikwaa.
 
Back
Top Bottom