Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Sema wafanyabiashara nashindwa kuwaelewa
Najua hela anazo na hana biashara moja. Na mfahamu sana na hata binti yake hela anazo
 
Sinyaa mpambanaji sana TRA kariakoo walimfanya kama kibubu chao bila jeuri yake angerudi kijijini aisee maana pana kipindi karibu wiki nzima walikua wanashinda kwenye store yake hata kinachotafutwa hakieleweki wakila mpunga wanatulia wakitaka hela wanamtafuta tena...ila huyo ni kiboko pana siku aliwahi wafungia maofisa na kufuri kubwa store akaondoka zake sijui ile kesi iliishaje msala juu ya msala...ilibidi kufuri livunjwe na baadhi ya wazee wa kazi waliopata taarifa ila bila ubishi huyo dada naamini angerudi kijijini kitambo mno yupo saba saba jengo la Sauli huyo dada namkubali sana ni Jembe la mkono kweli hana woga hata Chembe..
Da inamaana alifungia maafisa ndani ya stoo ...
 
Da inamaana alifungia maafisa ndani ya stoo ...
Ni wezi walikua wanatumia uafisa kuibia watu walikutana na chuma cha Pua kila wakimuangalia wanaona hii ngoma kiboko hiyo taarifa iliisha kimya kimya maana ilikua aibu kwao na hawakukatiza tena ule mtaa baada ya kufunguliwa wahuni wakashangilia mpaka wanaelekea Mtaa wa Msimbazi nilicheka sana...huku Sinyaa akitaka kufungua kesi ya kubomolewa Store yake na kupoteza mali ile Kariakoo ilikua na watu Mamafya sana...
 
Kwani kuna formula maalum ya kuongea na Waziri Mkuu tofauti na Mjumbe wa mtaa!!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Mkuu
Unajua wa Tz tumezoea faking, inaonenakana jamaa alitaka mama aanze na kushukuru kama bungeni and all that, lingine ni kua context ile na kauli zile inaendana! Ndio maana kiongozi wetu aliwaambia wawe huru kuongea lolote kwa nia ya kujenga.
 
Back
Top Bottom