mama mkwe jeuri......

Ooh...oooh!!Mama: alipita huku "chini" mara 1Binti: ...anapita "huku" karibu kila siku....
 
Subject: DAUGHTER INLAW Vs MOTHER INLAW


Mother-in-law: "My son must listen to me and obey my instructions, except if he did not suck this breast of mine for more than a year......."
Daughter- in-law: Mama, "That was over 40 years ago!!!!!You must realize that it is my breast he sucks now. He has sucked it for more than 5 years and he is still sucking"
Mother-in-law: " I carried him for 9 months....."


Daughter-in-law: " He was only 3.5 kg, wasn't he? ...... so whats the big deal? I CARRY HIM EVERY NIGHT AND HE IS 110 KG NOW
waolewa watarajiwa ndo tuition hii mnapeana?
 
fazaa kuna wanawake wanawapenda waume zao lakini hawawapendi kabisa mama wakwe wala mawifi wala ndugu yeyote wa mume,yaani anataka kama vile awe na mume na ndugu zake yeye(mke) tu hao wengine wa mume ni wabaya wote.
queenkami ndo tunarudi pale pale huwezi kumpenda mme wake bila kupenda family yake....Ni sawa sawa kabisa huwezi kupenda watoto zako, bila kumpenda mama yao.
 
Smile na Preta siku mkiwa na watoto mtaona kisha mtajua kwanini mama stands for everything. Tena ukitaka ku win ndoa yako uish bila matatizo kuwa shosti wa mama mkwe. yaani zake yeye ni vijisent kidogo kwenye akaunti, na kitenge japo mara moja kwa miez kadhaa wee kwa raha zako hutopata usumbufu kabisa. ukitaka kumkoleza zaid basi nunua vitenge sare siku wewe vaa na yeye avae lol ataona hakunaga kama wewe tena.

kwa mkwe kuwa mkorofi juu ya mkamwana inategemea sana first approach yako kwake, hasa ukiwa mchoyo mbona utamkoma?
Kujipendekeza kwa mama mkwe sio kosa, kosa kujaribu kumhonga ili akupende...Mimi na amini wazi kabisa mama mkwe wako kama utamheshimu na kumpenda kama mama yako huwezi kupata tabu katika ndoa yako.
 
Kujipendekeza kwa mama mkwe sio kosa, kosa kujaribu kumhonga ili akupende...Mimi na amini wazi kabisa mama mkwe wako kama utamheshimu na kumpenda kama mama yako huwezi kupata tabu katika ndoa yako.
fazaa katika watu wasio hongeka ni mama wakwe. ................. lol... hawa watu kma hawamkupend hata umpe nini hawez kukukubali yaani atabaki analalama tu. Ndio maana kwangu mm huwa nasema nafanya yale ninayopaswa kuyafanya kama mtoto kwa mama na nina muheshimu sana kuliko hata mama yangu mazazi kwani yeye akiwa mtu wa ghubu basi anaweza kukufanya yale maisha uliyotarajia yawe ya raha hadi mwisho wa maisha yako yakawa karaha hadi ukatamani kukatiza uhai. Formula ya kuish na mama mkwe ni usiwe mchoyo, muheshim kuliko mama yako mzazi, usiwe karibu naye sana, na mwisho kabisa muelekeze mumeo katika kutimiza wajibu wake juu ya mama yake. Yaani usiumie nafsi kabisa katika hili.
 
fazaa katika watu wasio hongeka ni mama wakwe. ................. lol... hawa watu kma hawamkupend hata umpe nini hawez kuukubali yaani atabaki analala tu. Ndio maana kwangu mm huwa nasema nafanya yale ninayopaswa kuyafanya kama mtoto kwa mama na nina muheshimu sana kuliko hata mama yangu mazazi kwani yeye akiwa mtu wa ghubu basi anaweza kukufanya yale maisha uliyotarajia yawe ya raha hadi mwisho wa maisha yako yakawa karaha hadi ukatamani kukatiza uhai. Formula ya kuish na mama mkwe ni usiwe mchoyo, muheshim kuliko mama yako mzazi, usiwe karibu naye sana, na mwisho kabisa muelekeze mumeo katika kutimiza wajibu wake juu ya mama yake. Yaani usiumie nafsi kabisa katika hili.
gfsonwin safi sana, umeongea maneno mazuri sana na yenye faida nyingi.
 
Mama mkwee aaaah,mambo gani hayaa?Ngoja niwe mtazamaji kwanza!
 
gfsonwin safi sana, umeongea maneno mazuri sana na yenye faida nyingi.
hata wewe pia naona uko smart sana kwenye marriage sociology. unajua ukiangalia kwa makini wewe mwanamke mwolewaji unapaswa kuwa makini sana manake kule unakokwenda huna ndugu, na wala huwajui kibaya zaid hata watoto unaowazaa siyo akwako ni wa kwao. sasa unajishaua nini? kwenye ndoa ni kmyenyekea kwa kwenda mbele tena huku hakunaga uzungu hata siku moja. ukitaka jaribu uzungu sema mumeo aitwe kwa ubini wako uone lol..!
 
Back
Top Bottom