mama mkwe jeuri......

queenkami Sijasema napenda vichanga vife, hapo lazima ujuwe Erotica kauliza swali nichagua nani wa kumsave kati yao...Kama ni ushauri wangu sipendi kuwakosa wote lakini unapoulizwa nani bora kati yao apoteze maisha yake ni bora hako kachanga...Nadhani umenipata sasa.
fazaa nilielewa kuwa Erotica kaandika kuwa vichanga vya miez mitatu viko home,haviko na nyie hapo kwenye eneo la hatari,ndio maana nikasema bibi yao akiokolewa pia anaweza kuwalea,maana erotica alionesha kuwa wife ni muhimu aokolewe sababu vichanga vilivyoachwa home vinamuhitaji avilee.
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya wanawake wananikataa kwa ajili ya umbo langu (kama ninavyoonekana kwenye picha hapo juu), hivyo sina uzoefu wa kubebwa wala kunyonyeshwa na kiumbe kingine chochote zaidi ya alivyonibeba na kuninyonyesha mama yangu.
 
heheeh JF bana, yaani sredi ikiwa ya joke watu ndio wanakuwa serious.
Mimi nalog out bana na napenda kutoa ushuhuda kwamba nitawamiss sana washiriki wa sredi hii na pia naomba niungame zambi zangu kwamba ufiga wa Smile kwenye avatar umenisababishia kuchelewa kazini na kidomo cha Erotica na uso wa queenkami vikaongeza mfazaiko katika konsetreshen ya ibada zangu. Rejao baadae mkuu
Pia msalimieni mwalim wangu Gaijin akikuja, nimemmiss sana bila sababu ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
fazaa nilielewa kuwa Erotica kaandika kuwa vichanga vya miez mitatu viko home,haviko na nyie hapo kwenye eneo la hatari,ndio maana nikasema bibi yao akiokolewa pia anaweza kuwalea,maana erotica alionesha kuwa wife ni muhimu aokolewe sababu vichanga vilivyoachwa home vinamuhitaji avilee.
queekami huyo Erotica anaonyesha kama hapendezewi kuona mwanaume anamheshimu mama yake, kuliko mke wake...Ye anataka mwanaume amheshimu mke wake kuliko mama yake.

Type za wanawake kama Erotica wachezee wanaume wale walio regea regea sio wanaume kama sisi...Hajui kuna wanaume wengine huwa hata kama tunapenda vipi, ikifika kwenye heshima lazima heshima iwe mbele....Mama lazima apewe heshima zake kuliko mke, bila ya mama hata mke wangu asinge niona hapa duniani.

Afu cha ajabu mimi ni mtu na bahati sana, mke wangu anamheshimu mama yangu kuliko anavyo niheshimu mimi, afu huwa anafurahi sana kuniona namheshimu sana mama yangu :poa
 
fazaa hapo pekundu huwezi amini jinsi nimefurahi ajili yako.
Usiseme una bahati,sema wewe ni miongoni mwa waliobarikiwa,
Your wife is a blessing.
Ungejua tu wengine huko jinsi vita kati ya mke na mama mkwe ilivyo kali hadi inafikia kipindi mume anajikuta njia panda.

Hapo juu nadhani Erotica alikua anapima tu upepo aone kama wanaume mnapenda wake zenu zaidi ya mama zenu au la.
 
Last edited by a moderator:
fazaa maana ulijifanya hujanielewa. Umemsoma queenkami?

naona usha ni jaji kua sitaki mamamkwe aokolewe. ar u sure?

nimekujibu ipasavo i think ndio mana umekimbia post unakuja kunivisha lawama c zangu huku.
 
Aisay poleni sana...Mimi mama yangu hana kabisa matatizo na mke wangu au wake za ndugu zangu.
 
Erotica wapi nimekimbia, afu wapi nimejifanya sijakusoma....sasa we ulikuwa unataka mimi nife hahaha...Aisay sikujua kama unanipenda vile, I love u :bounce:
 
mkae mkijua tu kuwa huwezi mpenda mama yako kama anavyokupenda.

Ndo maana huwa sishangai mtu akisema mama wakwe wanaa, au mke kwanza mama badae.

Wenye midume tupu kweli wana kazi.
Msichana huwa anaelewa pindi anapopata watoto wake.

Kwa hiyo ruksa kuwananga mama wakwe.
 
Erotica wapi nimekimbia, afu wapi nimejifanya sijakusoma....sasa we ulikuwa unataka mimi nife hahaha...Aisay sikujua kama unanipenda vile, I love u :bounce:

Yaliyopita sio ndwele fazaa. me i love u maradufu. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Aisay poleni sana...Mimi mama yangu hana kabisa matatizo na mke wangu au wake za ndugu zangu.

asante kwa niaba yao.
mim sina mama mkwe fazaa
Ila natamani siku nikiwa mama mkwe niwe na mkwe kama mkeo.
 
Last edited by a moderator:
queenkami mungu atajalia utapata mama mkwe kama mke wangu :poa
Ila inawezekana siri ya mafanikio iko kwa maza.
Labda mama yako upendo wake kwa mkeo na hekima zake za kimama zimesababisha mkeo hana jinsi zaidi ya yeye pia kumpenda na kumuheshimu mama.
Hivyo kama siri iko kwa mama basi Mungu na anipe hekima za mama fazaa.
Sababu mam mkwe ukiwa mcharuko kweli hata kama binti wa watu ana heshima na upendo si vitamshinda tu.
 
queenikami inategema na mke pia, kama mke wako anakupenda lazima ataheshimu tu family yako...Afu yasemekana majority of married people wanakuwa kwenye matatizo vikikosekana vitu viwili....Heshima na mapenzi.
 
fazaa kuna wanawake wanawapenda waume zao lakini hawawapendi kabisa mama wakwe wala mawifi wala ndugu yeyote wa mume,yaani anataka kama vile awe na mume na ndugu zake yeye(mke) tu hao wengine wa mume ni wabaya wote.
 
Last edited by a moderator:
No matter mm mke nina mbeba akiwa na kg ngapi, na ananonya nyonyo miaka mingapi. Ikumbukwe kuwa mama mkwe angezembea angekufa au kuwa kilema au pia asingekuwa hapo ulipo mkuta so ni busara sana mkamwana kumheshimu mama mkwe. Hivi wewe mke ulipata uchungu gani juu ya huyu mumeo? umechanika msamba wewe? je umepata makovu ya tumbo ili yeye azaliwe? Tuwe na busara sana katika hili. siyo kitu chA KUTANIA KABISA.
 
Smile na Preta siku mkiwa na watoto mtaona kisha mtajua kwanini mama stands for everything. Tena ukitaka ku win ndoa yako uish bila matatizo kuwa shosti wa mama mkwe. yaani zake yeye ni vijisent kidogo kwenye akaunti, na kitenge japo mara moja kwa miez kadhaa wee kwa raha zako hutopata usumbufu kabisa. ukitaka kumkoleza zaid basi nunua vitenge sare siku wewe vaa na yeye avae lol ataona hakunaga kama wewe tena.

kwa mkwe kuwa mkorofi juu ya mkamwana inategemea sana first approach yako kwake, hasa ukiwa mchoyo mbona utamkoma?
 
Last edited by a moderator:
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom