mama mkwe jeuri......

Hivi thamani anatoa mama, mke, mtoto? hapa ni kumkalisha kiti moto huyo mume ajibu.
Ngoja tusiende mbali sana...mama, mke na mtoto wote wana thamani...Tofouti ya thamani zao ni kama vile Almasi, dhahabu na fedha...Mama huwezi kumbadilisha ukazaliwa na mwingine, mke unaweza ongeza mke wa pili, na mtoto unaweza kuongeza wakawa watoto :bounce:
 
Nikununie kwa kosa gani? Halafu hapa online ntaanza tu kununa kwa mtu nisiyemfahamu hata yukoje...interest na mabo yake hayaingiliani kabisa na ya kwangu...ntaanza vipi Erotica?

Hapo chacha! haya naomba kakomenti kule nione mawazo yako basi.

Alafu acha kuzuga kua hatufahamiani.
 
Ngoja tusiende mbali sana...mama, mke na mtoto wote wana thamani...Tofouti ya thamani zao ni kama vile Almasi, dhahabu na fedha...Mama huwezi kumbadilisha ukazaliwa na mwingine, mke unaweza ongeza mke wa pili, na mtoto unaweza kuongeza wakawa watoto :bounce:

Ukiwa umebanwa mahala ambap mnaweza poteza uhai wenu, mamako ana miaka 55+

mke kaacha watoto vichanga wa miezi 3 hom. katia ya mama na mke wa kumuokoa ni yupi hapo?
 
We kweli unachekesha, mimi tamuokoa mama yangu sababu zidhani hapa duniani kuna kitu kina thamani zaidi ya mama yangu hata awe ana miaka 100+

Kichanga tutazaa kingine, afu kama kuna uwezekano talipa kisasi kila mwaka namzalisha mke wangu ili asahau kama aliwahi kuzaa mtoto akafa :bounce:
 
fazaa hapo nachekesha nini? nataka nijue upembuzi wako yakinifu uko vipi. Kulikua na

ugumu gani wa kujibu bila kuniambia nachekesha? Hapo umeshanionesha ni selfish.

kwa nini usife wewe mama yako akapona na mkeo ili akalee watoto wako? una garantee na Mungu wewe?
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa umebanwa mahala ambap mnaweza poteza uhai wenu, mamako ana miaka 55+

mke kaacha watoto vichanga wa miezi 3 hom. katia ya mama na mke wa kumuokoa ni yupi hapo?
heheeh kifo tena? siokoi hata mmoja, sheria yangu ni kwamba mbele ya kifo ni self service tu hakuna msaada wala mapenzi, kwa ufupi natimka mbio na kuwaachia sakata lao, tutaombana razi wakipona baadae.
 
Dah! huyu mdada atakuwa anapenda kifo cha mende aisee, haka kamchumba kangu kanapenda kukuna nazi basi nakabeba yeye daily na uvivu wake. Nyambaaf. naomba kontakt za huyu daughter in law
duh duh kukuna nazi??????????????????????????????????? kweli mimi mshamba
 
heheeh kifo tena? siokoi hata mmoja, sheria yangu ni kwamba mbele ya kifo ni self service tu hakuna msaada wala mapenzi, kwa ufupi natimka mbio na kuwaachia sakata lao, tutaombana razi wakipona baadae.

teh teh teh. klorokwini acha selfishness hata mmoja? hebu chagua tuone.
 
Last edited by a moderator:
fazaa hapo nachekesha nini? nataka nijue upembuzi wako yakinifu uko vipi. Kulikua na

ugumu gani wa kujibu bila kuniambia nachekesha? Hapo umeshanionesha ni selfish.

kwa nini usife wewe mama yako akapona na mkeo ili akalee watoto wako? una garantee na Mungu wewe?
Kuwa selfish smtimes si vibaya.

Wewe unataka mimi nife sa nikifa mama yangu si atapata tabu mana kisha kuwa 55+ na mke wangu kuishi bila mimi we huoni itakuwa shida kwake....nimeamua kachanga kife sababu bado hakina dhambi, afu kumbuka vitabu vya dini vinasema nin...Huyo mtoto akifa atakupokea peponi kama wewe mtu wa peponi sababu hana dhambi.

Unapo niuliza kama na garantee na mungu, ungejiuliza pia je mama yangu na mke wangu na hako kachanga wao wana garantee na mungu!
 
Kaazi kweli kweli...unaenda lala mchana wote huu usiku wafanya nini?

Hapo sio kua nalala, nasinzia. Nikisinzia huwa ndio natafakari vizuri.

nikimaliza hapo nitajua huyu Ndahani nimsemeshe nini asinisahau tena!
 
Last edited by a moderator:
Dah! huyu mdada atakuwa anapenda kifo cha mende aisee, haka kamchumba kangu kanapenda kukuna nazi basi nakabeba yeye daily na uvivu wake. Nyambaaf. naomba kontakt za huyu daughter in law
Aisee hii inawafaa wale wanaolalamikaga hawafikishwi...yaani kitu inafika tumboni kabisa, hachukui raundi anamaliza!!
sema siyo nzuri kama unataka kumpa mtu :mimba:
 
Back
Top Bottom