Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

Mh....,!hapa nimechanganyikiwa,kweli huyu ni Maria Roza niliyekuwa nataka kumtumia CV yangu, au kuna mtu mwingine ameiba password yake na sasa anaitumia kumharibia jina mtarajiwa wangu?

Nani hapenzi kula au kuliwa?......mkuu tuma CV tu maana hata mie nilishatuma tayari, UKICHAKACHULIWA hamna noma....
 
Mfiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirigise!

Unatafuta ushauri JF? unanshangaza.
 
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??

yaani ningekuwa mimi muda tu nishacheka na nyavu..nakuja JF kutoa feedback mambo niliyokutana nayo huko sio kuomba ushauri..
 
Hizo tamaa tu fikiria mara 2 umeshasema hataki kumsifia mkeo nadhani huyo ana mpango wa kukuvunjia ndoa yako hana lolote akatafute kikongwe kama yeye.kama una mpango wa kutafuta kipanya cha kunyonga tafuta cha saizi yako na sio jimama hata mkeo akikufuma ajue umeteleza sio vikongwe.hebu acha kabisa wala usije ukathubutu.Kina dada wa JF mbona mwampoteza huyu bwana au nyie mnapenda vizee?
 
Mfiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirigise!

Unatafuta ushauri JF? unanshangaza.

haina doa ndg yangu kesho uwanja mpana nitatoa yaliyojiri jumatatu...............Niko napiga tizi si unajua tena mama mzoefu?
 
Hizo tamaa tu fikiria mara 2 umeshasema hataki kumsifia mkeo nadhani huyo ana mpango wa kukuvunjia ndoa yako hana lolote akatafute kikongwe kama yeye.kama una mpango wa kutafuta kipanya cha kunyonga tafuta cha saizi yako na sio jimama hata mkeo akikufuma ajue umeteleza sio vikongwe.hebu acha kabisa wala usije ukathubutu.Kina dada wa JF mbona mwampoteza huyu bwana au nyie mnapenda vizee?

halafu wewe usiseme VIZEE sema VIDIGITAl uko ulimwengu gani wewe? Nakula kidigital kesho...
 
We kweli shetani lile number one kabisa kwa hiyo nimsaliti mke wangu?

Sasa kama jibu unalo kwa nini unasumbua watu kwa maswali yasiyo na msingi.....ulioa mwenyewe na ukaapa mwenyewe kuwa utakuwa na mke wako tu mpaka kifo kitakapo watenganisha!
 
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??
majibu unayo, na wewe mnengulie
 
Kule pwani tunasema mwana wa mwenzako si wako hivyo akiruka ruka naye, akilala lala naye. Na pia hata mzazi wa mwenzako si wako, naye akiruka ruka naye, akinengua kiuno nengua naye. Huyo mama anataka kumegwa, wewe unaleta mzaha?, ebu nipe namba yake ya simu tafadhali.
 
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??

Mkuu kila m2 ana uwezo tofauti wa kutafsiri matendo ya wengine ila kwa jinsi unavyoandika hapa mi nahisi tatizo sio mamamkwe, tatizo liko kwako wewe. Inaonyesha kwamba wewe umewahi kujisogeza au kujenga ukaribu uliopitiliza na mamamkwe na hivyo kumfanya akuone kama vile sio mkwe ila m2 anaeweza kujihusisha nae kimapenzi. Nakushauri uachane na huu ukware.... Tulia na mkeo...kwani huyo mamamkwe ana nini ambacho wife wako hana au unatafuta tu aibu mitaani na laana zisizo rasmi???
 
Naona JF imevamiwa na huenda ikapoteza mwelekeo siku si nyingi kama hali hii haitadhibitiwa.
Nadhani kuna haja ya kufanya kitu.
Kuna thread zaidi ya mbili humu zina maudhui kama haya na bado inavyoonekana zitaendelea kuletwa nyingi tu.
Ni bora hawa watu wenye thread kama hizi wamtafute Muumba wao maana tunakoelekea mh mh.
 
Duh ngoja nifanye fasta nile hahahahaha wasije mafataki wakaimendea...

We mtu mzima huyo mashine ishapigwa na kuwa bokoboko fataki gani atammendea, nenda tu katafute laana basi, mafataki hawana mpango na hivyo vikongwe. Ukienda huko ukirudi uje utuambie umekuta mashine inavutika kwa sentimita ngapi na pia ukumbuke kubeba ndoo ya kupunguzia maji! Rubish!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom