Mama mchungaji huyu aninitesa mwenzenu.

Kumbuka WOMEN LOOKS NICE FROM FAR BUT ACTUALLY THEY ARE From NICE.......Uzuri wa MKAKASI............
 
umanguka dhambini kwa kumtamani mke asie wako.


attachment.php
 
Hata mimi mkuu huwa ananizenguaga akili yangu vibaya sana. Ila nilikemea hiyo hali ikatoka sasa leo tena umenitonesha, Lol. Ngoja nikakemee atoke kabisa.
 
Ndiba umekuwa jasiri wa kusema yaliyo moyoni mwangu ambayo nilikuwa nasita kuyasema....nashukuru kumbe tupo wengi.
 
pepo la uzinziiiiiiiiiiiiiiii toka aaaaaaaaaaaa kwa jina la yesuuuuu wa nazaretiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom