Mama mchungaji huyu aninitesa mwenzenu.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili.
Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi.
Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa.
Ni mateso bila chuki.
Christina Shusho wanimaliza miye.
SHUSHO29..00.jpg
 
Heshimu ndoa yake, other than that hata uchungaji ni biashara tu.
 
Kwani nyie mumeelewa vipi? Yeye kasema sauti yake inamkosha, siyo anamtamani kimapenzi. Watu wanaowaza ngono utawajua tu.
 
Hivi kashaolewa!!hakika mchungaji anafaidi!loh!ule mwanya wake!!hakika kaumbika
 
Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili.
Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi.
Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa.
Ni mateso bila chuki.
Christina Shusho wanimaliza miye.
View attachment 44092
anakusisimua, anakumaliza .... mh ebu weka wazi zaid, je ni maneno ya nyimbo zake yanakuingia akilin au kuna lingine maana wengine hapa vichwa vyetu vigum sana na pia unajua kuwa ni mke wa mchungaji
 
anakusisimua, anakumaliza .... mh ebu weka wazi zaid, je ni maneno ya nyimbo zake yanakuingia akilin au kuna lingine maana wengine hapa vichwa vyetu vigum sana na pia unajua kuwa ni mke wa mchungaji
Ananimaliza kwa njimbo zake na sauti yake nzuri hasa anapoimba vesi za 'kupaa'.
Natamani nimkodi angalau aje anakuja nyumbani kwangu atuimbie mimi na familia yangu, nitafurahi sana.
 
Last edited by a moderator:
Ananimaliza kwa njimbo zake na sauti yake nzuri hasa anapoimba vesi za 'kupaa'.
Natamani nimkodi angalau aje anakuja nyumbani kwangu atuimbie mimi na familia yangu, nitafurahi sana.

Mkeo atakubali aje akuimbie nyumbani kwako???
 
Last edited by a moderator:
mmh nimeona hii clip yake!

Waimbaji wa Gospel siku hizi unashindwa kujua kama ni dini kweli au ni wapo kibiashara zaidi!
Bora salama, tutakutana huko huko
 
Vp kama angekuwa mkeo halafu mtu kavutiwa nae wakamzungumzia namna hii??? its good to express your feelings but that is limited. Anyway, hilo ni pepo unahitaji maombi.
 
kumbe ameshaolewa,naupenda ule wimbo wake wa 'wakuabudiwa'...unanibariki sana.
 
Ni mateso bila chuki.
Christina Shusho wanimaliza miye.
Jamani, mi sijaelewa anammalizaje aisee!!!!Una maanisha unataka kumuoa au unataka tamtam tu? Km kumuoa its too late....na km ni tamtam zote ni sawa hata unayopataga hauka tofauti tena waweza kuta uliyoizoea ndo nzuri kuliko ya mama mchungaji......teh
Ila shemeji asijue unampenda Shushu.
 
Back
Top Bottom