Mama Fatma Karume athibitisha Karume hakushiriki Mapinduzi ya Jan, 1964! TBC Live

lakini ifike wakati wananchi tusiwe tunadanganyika na mambo ya kitoto .......mwanae ndio rais wa Zanzibar na mwingine ni balozi wa tanzania ujerumani.......sasa rais wa Zanzibar ambaye ni mwanae inawezekanaje kumsahau mama yake? au kuna matatizo ndani ya familia yao?
Kumbuka kuwa mtoto ana familia yake. Sheria ya Maslahi ya Viongozi wa kisiasa (the Political Service Retirement Benefits Act, 1999) Tanzania bara kama siyo mpaka Zanzibar haisemi kuwa wajane/wagane wa viongozi watatunzwa na watoto wao. Soma vizuri Sections 10 and 11 za sheria hiyo utaona ni jinsi gani serikali ya CCM inavyopuuzia kuwatunza wajane. Section 11 of the Act states that:
"When a former President dies his Widow shall be granted by an appropriate authority an annual pension payable monthly of the sum equal to twenty per cent of the salary of the incumbent President".
 
Mhhh, Nyerere Mkatoliki, Waingereza ni Wa-Anglican. Wa-Irish hadi leo wanazipiga kisa Wakatoliki na Wa-Anglican (Celtics vs Rangers).

Idi Amini alifukuzwa kwa sababu ni Mu-Islaam? Kwa hiyo Lumumba, Ngwambi, Nkrumah na wengine waliuawa kwa sababu ni Wakristo?

Yaani wewe lazima utakuwa Muarabu kutoka familia ya Sultan. You and that Sultan you can go to HELL and mfilie mbali.

Muda wenu umeisha na hakuna RAIS ambaye ataruhusu Mmanga arudi atawale Zenji. Labda Zenji ivunjwe na mtawale Pemba.

Kwa hiyo umefahamu fika siku ya mapinduzi ilikuwa ni siku ya kupinduliwa wazanzbari bali sio ukombozi wa wananchi wenyewe,unajua kuwa mwaka 1963 ndio zanzbar ilipopata uhuru ? Na hapo hapo ndipo ilipopata kiti katika umoja wa mataifa ? Huyo mama maneno yake mengine ni mzushi,karume alijibambikia mabilioni ya pesa kawekeza marekani,na amani ananjua muulizeni,karume wake zake wote wana majumba zanzbar mwisho yamekuwa magofu yako kule vuga.

Karume sio mzanzbari halisi,na mtu ambaye wa kuja tu,walipanga na nyerere na yeye kaja zanzbar kuwaeleza wananachi,na kipindi hicho zanzbar ulikuwa unangia tu bila ya passport,kulikuwa na uhuru flani,watu wa africa mashariki walikuwa wanangiliana bila ya tatizo lolote kabla ya mapinduzi uanajua hilo.

Nyerere aliwatumia watu amabo waje zanzbar,wakatoa information na ndipo wakaja kufanya mapinduzi,baada ya mapinduzi karume kajitangaza yeye ni rais,pia waliokufa siku ya mapinguzi hakuwepo sultana hapa,mohd shamte mfalme wa zanzbar alikimbilia uk,na yule ni mzaliwa wa zanzbar,na zanzbar hadi mwaka 1963 kulikuwa hakuna utumwa,wala ubaguzi,nchi ilikuwa huru kabisa,na uchumi wa zanzbar ulikuwa mzuri ukilinganisha na tanganyika.

Mapinduzi ya zanzbar yalishindikizwa na waengereza,na kushirikiana na nyerere,yote ni kwa sababu ya usilamu,ukiangalia hata uganda pia ilikuwa nchi ambayo usilamu ulikuwa ukikuwa kiasi kikubwa na kwa vile nyerere ni christianity ndio alipopeleka jeshi kumpindua iddi amini,nyerere alikuwa mlokole sana,kila muda anakuja wengereza kufanya ibada na ndipo alipofanya njama na hawa wazungu kuja usaambaratisha uislamu zanzbar.

Kiukweli sisi wazanzibar hatufurahii mapinduzi,kwa sababu waliokufa wazee wetu,iwe warabu iwe watu weusi,lakini nawaambia kuwa walikufa siku hio sio waarabu tu,hata weusi wengi tu,tena wazanzbari halisi,mungu atawalipa wale wote mahafidhina walikuja kuuwa wazee wetu zanzbar ameeeeeeen
 
Mkuu taratibu yakhe..utarudishwa Sikonge..ohhhh..Kijana bado analilia waarabu...sasa sijui tumsaidie vipi....JF ichange arudi Oman kwa Sultani...... Duh..namkumbuka Mugabe...Zimbabwe will never be a colony again! Blair do you hear this? I repeat..Zimbabwe will never be a colony again........Yeah...Mnyonge mnyongeni..ila haki yake mpeni..hao waarabu wakapumzie kwao wale tende na haluwa....watuache na bara letu la giza..
 
Nicky82, hata kama hakushiriki physically, lakini alishiriki kwenye planning. Hakuna ubishi kuhusu kiongozi wa ukweli wa Mapinduzi yale kuwa ni John Okello na ndie Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi, lakini kwa vile Karume, ndie aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndiye aliyeleta Muungano na Nyerere na ndiye aliyeuwawa kwa kupigwa risasi, hivyo kuyatoa muhanga maisha yake kwa ajili ya Zanzibar, anastahili kabisa kuenziwa bila mashaka yoyote, ila pia ili Zanzibar kuwa wakweli, wanatakiwa kumuenzi hata na John Okello japo kwa kutajwa tuu itatosha.

Pasco mimi nataka kujua upande wa pili wa shilingi ili twende sambamba, aliuwawa kwa kupigwa risasi kwa sababu za kisiasa au binafsi? Kama ni za kisiasa na misimamo iliyokuwa inaleta maslahi kwa nchi au muungano basi sawa! Ila kama ni kwa sababu binafsi tena kma ni za aibu sioni kwanini tumnuenzi na kupoteza siku nzima ya uzalishaji
 
Historia ya kweli kuhusu mapinduzi - Thanks Google

John Gideon Okello (1937, Lango District, Uganda, – 1971?) was an East-African revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic.

YouthLittle is known of Okello's youth although he was baptized at age two and given the baptismal name of Gideon. He was orphaned at age eleven and grew up with other relatives. When he was fifteen, he left and set out on his own and found work in several places within East Africa. At various times, Okello was a clerk, manservant, gardener, and in odd-jobs. He later went through training to become a bricklayer. He was arrested in Nairobi, (Kenya) for unclear reasons and was incarcerated for two years, during which time he became interested in revolutionary ideas.

There is some speculations that, at some point, Okello had a residence in Cuba and was taught communism by Fidel Castro.

Police officer on PembaIn 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police officer instead. Okello joined the Afro-Shirazi Party of sheik Abeid Karume. This party opposed the domineering position of the minority Arabs on the islands of Zanzibar and Pemba.

[edit] RevolutionaryOkello left for Zanzibar in 1963, where he contacted the leaders of the Afro-Shirazi Youth League, the youth organisation of the Afro-Shirazi Party. The Youth League strived for a revolution in order to break the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters Union, being a house painter. In his free time he built up a small army of determined African nationalists. This army was required to hold themselves to the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol.

The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found the revolutionary state on Zanzibar and Pemba. On the night before the “revolution”, Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins.

UprisingOn January 12, 1964, with popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived. Even though they were poorly armed, Okello and his men surprised the police force of Zanzibar and they took power.

During a speech on radio, Okello dubbed himself the "field marshal of Zanzibar and Pemba". He gave the sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be harboured in Britain. The prime minister and other ministers also managed to escape.

The coup led to the poorly-known massacre of between 5,000 and 20,000 Arabs, whose families had been living in Zanzibar for centuries, between January 18 and 20. Footage of the massacre can be seen in Gualtiero Jacopetti's film Africa Addio, a 1966 exemplar of the Mondo film genre.[1]

Shoved to the sideOkello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume or Babu wanted anything to do with him. Afterward, Okello appeared to be too unstable to play any role in government of the new country and was quietly sidelined from the political scene by Karume, who allowed him to retain his title of Field Marshal.[2][3]

By 3 February Zanzibar was finally returning to normality and Karume had been accepted, almost unquestionably, as its president.[4] Okello formed a paramilitary unit, known as the Freedom Military Force (FMF), from his own supporters which is known to have patrolled the streets and become involved with looting.[5][6] In addition Okello's violent rhetoric, his thick and dialectic English pronunciations and Acholi tribal English accent- typical of Acholi from Northern Uganda, and his Christian beliefs alienated many in the largely moderate, Zanzibari and Muslim ASP.[7] By March many of his FMF had been disarmed by Karume's supporters and an Umma Party militia.[6][7] Okello was denied access to the country when he tried to return from a trip to the mainland and deported to Tanganyika and then to Kenya before returning, destitute, to his native Uganda.[7] He was officially removed from his post as Field Marshal on 11 March.[8]

The People's Liberation Army (PLA) was formed by the government in April and completed the disarmament of Okello's remaining FMF troops.[7] On 26 April Karume announced that he had negotiated to enter into a union with Tanganyika to form the new country of Tanzania.[9] Karume's reason for doing so may have been to prevent the radicals in the Umma Party from taking over the country or to reduce the possibility of increasing communist influence in East Africa.[9][10] Despite this, many of the Umma Party's socialist policies on health, education and social welfare were adopted by the government.[11]

Speculations concerning his deathOkello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book “Revolution on Zanzibar”, written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[citation needed]) and had arranged his assassination. This remains speculative, however.

Cultural references to OkelloThe black slave played by Edward Roland in Werner Herzog's 1972 film Aguirre, the Wrath of God is named "Okello". In his commentary to the DVD version of the film, Herzog also says that the character of Aguirre himself was partly modelled on John Okello, with whom the director had been in contact (Okello had wanted Herzog to translate a book he had written). Herzog explains: "I chose the name Okello because I owe his craze, his hysteria, his atrocious fantasies quite a bit for this film".[12]

au gonga hapa

John Okello - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kwa hiyo umefahamu fika siku ya mapinduzi ilikuwa ni siku ya kupinduliwa wazanzbari bali sio ukombozi wa wananchi wenyewe,unajua kuwa mwaka 1963 ndio zanzbar ilipopata uhuru ? Na hapo hapo ndipo ilipopata kiti katika umoja wa mataifa ? Huyo mama maneno yake mengine ni mzushi,karume alijibambikia mabilioni ya pesa kawekeza marekani,na amani ananjua muulizeni,karume wake zake wote wana majumba zanzbar mwisho yamekuwa magofu yako kule vuga.

Karume sio mzanzbari halisi,na mtu ambaye wa kuja tu,walipanga na nyerere na yeye kaja zanzbar kuwaeleza wananachi,na kipindi hicho zanzbar ulikuwa unangia tu bila ya passport,kulikuwa na uhuru flani,watu wa africa mashariki walikuwa wanangiliana bila ya tatizo lolote kabla ya mapinduzi uanajua hilo.

Nyerere aliwatumia watu amabo waje zanzbar,wakatoa information na ndipo wakaja kufanya mapinduzi,baada ya mapinduzi karume kajitangaza yeye ni rais,pia waliokufa siku ya mapinguzi hakuwepo sultana hapa,mohd shamte mfalme wa zanzbar alikimbilia uk,na yule ni mzaliwa wa zanzbar,na zanzbar hadi mwaka 1963 kulikuwa hakuna utumwa,wala ubaguzi,nchi ilikuwa huru kabisa,na uchumi wa zanzbar ulikuwa mzuri ukilinganisha na tanganyika.

Mapinduzi ya zanzbar yalishindikizwa na waengereza,na kushirikiana na nyerere,yote ni kwa sababu ya usilamu,ukiangalia hata uganda pia ilikuwa nchi ambayo usilamu ulikuwa ukikuwa kiasi kikubwa na kwa vile nyerere ni christianity ndio alipopeleka jeshi kumpindua iddi amini,nyerere alikuwa mlokole sana,kila muda anakuja wengereza kufanya ibada na ndipo alipofanya njama na hawa wazungu kuja usaambaratisha uislamu zanzbar.

Kiukweli sisi wazanzibar hatufurahii mapinduzi,kwa sababu waliokufa wazee wetu,iwe warabu iwe watu weusi,lakini nawaambia kuwa walikufa siku hio sio waarabu tu,hata weusi wengi tu,tena wazanzbari halisi,mungu atawalipa wale wote mahafidhina walikuja kuuwa wazee wetu zanzbar ameeeeeeen
Hata wewe Ghibuu tukifuatilizia historia yako na wewe si Mzanzibari. Na wewe ni wa kuja tu kama alivyokuwa Karume. Usitake kutuambia kuwa Wazanzibari halisi ni wale wenye asili ya Oman na wenye asili ya bara, Msumbiji, Malawi si Wazanzibari. Tafakari.
 
wewe tulia
Karume sio mzanzibari halisi,wala sio mzaliwa wa zanzbar,iweje mtu awe rais wakati sio mzaliwa ? katiba ya zanzibar inasema kuwa ili uwe na sifa ya urais lazima wazee wako wawili wawe wazanzibari,lakini toka mapinduzi hakuna mtawala halisi wazanzibar,tukianza karume,jumbe,mwinyi,hata amani karume,hata Shein hana sifa ya uzanzbari,,kikatiba,shein mama yake mpemba baba yake mtu kutoka main land,sasa umeona hapo,

Mimi usiulize asili yangu,waarabu hapa zanzbar wamekuja mika mingi sana,kwa hiyo naweza kusema kuwa ni wazanzbari halisi,na wazanzbari weusi hapa zanzbar waliletwa kiutumwa,wamezaliana ndio wakawa wazanzbari,kwa hio wazaliwa wa visiwani ndio wazanzbari halisi,na hata mwambao wa bara wa pwani ni wazanzbari,angalia hapo ramani ya zanzibar,,

Hata wewe Ghibuu tukifuatilizia historia yako na wewe si Mzanzibari. Na wewe ni wa kuja tu kama alivyokuwa Karume. Usitake kutuambia kuwa Wazanzibari halisi ni wale wenye asili ya Oman na wenye asili ya bara, Msumbiji, Malawi si Wazanzibari. Tafakari.
 
Pengine tumekuwa tukishindwa kuelewa historia kamili ya mapinduzi ya zanzibar ya January,12 1963.
Wengi tulidhani mapinduzi yaliongozwa na Hayati Abeid Amani Karume.
Namsikia mjane wa Marehemu Karume akiojiwa na Susan Mungi katika TBC mama amekuwa wazi kueleza kuwa siku ya mapinduzi Hayati Karume alikuwa nyumbani amelala na milio ya risasi aliisikia wakiwa nyumbani na alimsikia mumewe akidai ni "vijana wake hao"
Baada ya muda milio ya risasi ilipokwisha,gari lilifika nyumbani kwao na kumchukua mumewe lakini yeye hakuweza kujua mpaka leo ni nani aliehusika kuongoza mapinduzi hayo.

Kwani mapinduzi ni kitu kizuri?:disapointed:
 
Mama huyo ni mwanasiasa mzuri sana. Anajua upepo wa Zanzibar sasa unavuma kuyapinga mapinduzi kuwa hayakufanywa na wazanzibari.
Kaamua kwenda na upepo kujivua jukumu

she might also be behind serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar kwa kumuunganisha seif na amani karume.
 
Leo tarehe 12 January ni Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, nachukua nafasi hii kuwatakia nyote heri na fanaka za Mapinduzi na kukutakieni maadhimisho mema ya sherehe ya kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa watakao shereheka kwa wale wenye kumbukumbu njema, na kwa vile Mapinduzi Matukufu yale pia yaliandamana na umwagaji damu, natoa pole kwa wenye kumbukumbu chungu.
P
 
Pengine tumekuwa tukishindwa kuelewa historia kamili ya mapinduzi ya zanzibar ya January,12 1963.
Wengi tulidhani mapinduzi yaliongozwa na Hayati Abeid Amani Karume.
Namsikia mjane wa Marehemu Karume akiojiwa na Susan Mungi katika TBC mama amekuwa wazi kueleza kuwa siku ya mapinduzi Hayati Karume alikuwa nyumbani amelala na milio ya risasi aliisikia wakiwa nyumbani na alimsikia mumewe akidai ni "vijana wake hao"
Baada ya muda milio ya risasi ilipokwisha,gari lilifika nyumbani kwao na kumchukua mumewe lakini yeye hakuweza kujua mpaka leo ni nani aliehusika kuongoza mapinduzi hayo.
time will tell the true,kila Siku wamezidi kutudanganya,watueleze ukweli aliyeongoza mapinduzi ninani? mama keshakanusha mmewe hakuongoza mapinduzi,haha patamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine tumekuwa tukishindwa kuelewa historia kamili ya mapinduzi ya zanzibar ya January,12 1963.
Wengi tulidhani mapinduzi yaliongozwa na Hayati Abeid Amani Karume.
Namsikia mjane wa Marehemu Karume akiojiwa na Susan Mungi katika TBC mama amekuwa wazi kueleza kuwa siku ya mapinduzi Hayati Karume alikuwa nyumbani amelala na milio ya risasi aliisikia wakiwa nyumbani na alimsikia mumewe akidai ni "vijana wake hao"
Baada ya muda milio ya risasi ilipokwisha,gari lilifika nyumbani kwao na kumchukua mumewe lakini yeye hakuweza kujua mpaka leo ni nani aliehusika kuongoza mapinduzi hayo.
Wewe ni mjinga haswa kwako kushiriki ni kufanyaje...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Leo tunapoandhimisha Karume Day, kwa wale wenye access ya TV, please watch TBC Live, Mjane wa Karume, Bi. Fatma Karume, anahojiwa na Susan Mungi kuhusu kifo cha Karume.

Mahojiano hayo yalifanyika miaka ya nyuma na leo ni marudio, kwa kumbu kumbu yangu, nilipoyaona kwa mara ya kwanza, ndipo mbele ya safari alipotoboa siri ya Karume kutoshiriki Mapinduzi actively ambapo alitorokea bara.

Kipindi kimekatishwa, sijui kama kitaendelea.

More up date comming!.
Leo ni Karume Day, nami naomba kujiunga na Watanzania wenzetu maadhimisho mema ya Karume Day na kuwatakia mapumziko mema.
RIP Abedi Amani Karume.
Paskali
 
Back
Top Bottom