Silas Haki
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 368
- 39
Kumbuka kuwa mtoto ana familia yake. Sheria ya Maslahi ya Viongozi wa kisiasa (the Political Service Retirement Benefits Act, 1999) Tanzania bara kama siyo mpaka Zanzibar haisemi kuwa wajane/wagane wa viongozi watatunzwa na watoto wao. Soma vizuri Sections 10 and 11 za sheria hiyo utaona ni jinsi gani serikali ya CCM inavyopuuzia kuwatunza wajane. Section 11 of the Act states that:lakini ifike wakati wananchi tusiwe tunadanganyika na mambo ya kitoto .......mwanae ndio rais wa Zanzibar na mwingine ni balozi wa tanzania ujerumani.......sasa rais wa Zanzibar ambaye ni mwanae inawezekanaje kumsahau mama yake? au kuna matatizo ndani ya familia yao?
"When a former President dies his Widow shall be granted by an appropriate authority an annual pension payable monthly of the sum equal to twenty per cent of the salary of the incumbent President".