Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,532
- 113,667
popiexo, niliiona hii program iliporushwa kwa mara ya kwanza siku ya Mapinduzi January 12,2009. Tena kama Tido asingekuwa mkurugenzi TBC, program ile isingerushwa, maana ilikuwa tuu sensetive, Mama Karume alizungumza very frank kwa kutoa ukweli mtupu, ambao kwa serikali zetu wasingependa ukweli huo uwekwe hadharani!Umejuaje kama sehemu unayoisema ilikuwepo lakini haikuonyeshwa, tupe clip ya hiyo part
Kipindi kinaendelea, watch TBC Live....