Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...!

Nakunga mkono wengi wao hawana elimu ya uraia au kwa namna m1 wanafaidika na system hivyo awana uchungu na nchi hii!
 
Nashindwa kuamini kama Yutong zauzwa bei namna hii,kama ni kweli,vp kuhusu ma-benz kama ya Dar express ma-Andare(scania),inanishangaza kwa sababu hizi Yutong hata kuchoka zinachoka haraka sana!

sidhani kama yutong zimefika ml 200 zilipoingia bei yake ilikuwa ml 70 hata kama imepanda inaweza kuwa ml 120 tu.
Scania ni ml 350 hadi ml 400.
Benz labda ml 600 hivi
 
Ngoja nifanye makeke ya kumbandika mimba, mwanangu naye ale neema ya nchi
huwezi fanikiwa mama anapenda watu wa dini, kwani amejamiiana na Padre ,labda uje kwa gia ya kilokole.pia inataka moyo siyo kazi rahisi ukizingatia sura kama fiat mbaula,k itakuwa kama barabara za mbagala.
mtoto akiwa mkubwa lazima aku Balali
 
Parts-for-Yutong-Bus-ZK6129H-.jpg
 
Makinda ni tunda la mafisadi na anachofanya ndicho kielelezo cha hali halisi. Huwezi kuamini kuwa kwenye karne hii ya usomi,kihiyo kama Makinda angeweza kupendekezwa kuchukua ya msomi na mkereketwa wa haki kama Samuel Sitta. Mabunge yote ya nchi za Afrika Mashariki yanaendeshwa na maspika wasomi tena wa sheria. Ni Tanzania pekee tunapoendeshwa na kihiyo chaguo la mafisadi. Hivi kweli huyu mama ana mume au ni kanunga ka kawaida? Bunge letu liko mikononi mwa mhuni wa kawaida akifanya uhuni wa kawaida.
 
Tatizo ni nini? Makinda amekuwa mtumishi wa umma kwa muda gani? Hivi kwa level ya kipato cha makinda kwa miaka yote hii angeshindwa kuwa na bilion kadhaa? Acheni wivu nyie.
Bei ya YUTONG 1 ni 170 millions,so times 8
 
Harakati za kuzima upinzani pale bunge usidhani anazifanya bure hawezi kukosa kwenye club ya mafisadi. Naona ndo mambo yameanza kumnyokea baada ya kukubali kuwatumikia mafisadi.

hv si nimesikia serikali imefulia,haina ata fedha za malipo tena kwenye secta nyeti.lakini sikia huyu kanunua yutong.
 
sio kweli, mama makinda hana share mle, yale mabasi ni yake msigwa@super feo.yupo kwa biashara muda mrefu anadhaminika, jambo lingine tambueni yutong/mabasi ya kichina ndo yanaingia sokoni so wachina wanakopesha tu ili kuyasambaza sokoni. Kwa muda mrefu tz tumekuwa na mentality kwamba scania ndo gari imara ndio maana wanayatawanya kujitangaza japo pia kufanya biashara. Huyu mama dhaifu wa kuendesha bunge kwa hili hayumo kabisa!
kakutuma umtete???
 
unajua wabunge wana madeni mengi sana bank kwa ajili ya maendeleo ya majimbo yao 200'000 ni lazima
 
Acheni majungu tufanye kazi,nadhani huu mtandao tumevamiwa na wavivu wakutafuta riziki......Bi.Makinda ni mkulima mzuri sana,kwa hiyo uspika siyo ishu kwake kuwa mjasiria mali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa chanzo cha kuaminika kabisa bi mkubwa huyu Tangia ameukwaa uspika ameweza kujiwekea hazina yake ya uzeeni kwa kununua yutong nane kwa mkupuo na kuingiza kwenye kampuni ya Super....... ambayo imeanza kushamiri kibiashara. Je amepokea ujira wake wa kusaidia magamba au ndio saving zimejibu???

Safari ya haki ina kazi kweli.

SUPER FEO ni kampuni inayojishughulisha na nini???
 
Makinda ni tunda la mafisadi na anachofanya ndicho kielelezo cha hali halisi. Huwezi kuamini kuwa kwenye karne hii ya usomi,kihiyo kama Makinda angeweza kupendekezwa kuchukua ya msomi na mkereketwa wa haki kama Samuel Sitta. Mabunge yote ya nchi za Afrika Mashariki yanaendeshwa na maspika wasomi tena wa sheria. Ni Tanzania pekee tunapoendeshwa na kihiyo chaguo la mafisadi. Hivi kweli huyu mama ana mume au ni kanunga ka kawaida? Bunge letu liko mikononi mwa mhuni wa kawaida akifanya uhuni wa kawaida.

Heh, nimekukubali!
 
Back
Top Bottom