Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...!

huwezi fanikiwa mama anapenda watu wa dini, kwani amejamiiana na Padre ,labda uje kwa gia ya kilokole.pia inataka moyo siyo kazi rahisi ukizingatia sura kama fiat mbaula,k itakuwa kama barabara za mbagala.
mtoto akiwa mkubwa lazima aku Balali

tehx1000! Unanivunja mbavu!
 
Lakini Yesu akaenda katika Mlima wa Mizeituni. 2 Alfajiri na mapema Yesu akaja tena hekaluni, watu wote wakakusanyika, akakaa akaanza kuwafundisha. 3 Walimu wa sheria na Mafarisayo wakamleta mwanamke mmoja aliyefumaniwa akizini. Wakamsimamisha
katikati ya umati wa watu wote. 4 Wakamwambia Yesu, "Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. 5 Katika sheria, Mose alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa Wewe wasemaje?'' 6 Walimwuliza swali hili kama mtego ili wapate sababu ya kumshtaki. Lakini Yesu akainama akaanza kuandika ardhini kwa kidole Chake. 7 Walipoendelea
kumwulizauliza akainuka, akawaambia, "Kama kuna mtu ye yote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.'' Yohana 8:1 - 7

23 kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, Warumi 2:23


Waswahili walisema "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo".

Siku hizi tumekuwa tukiangalia ubadhilifu wa mali za umma unaofanywa katika ngazi za juu. Bali naweza kusema waTZ wengi ni mafisadi, tafakari wewe katika nafasi yako na mshahara wako ungeweza kujenga ile nyumba? au kununua lile gari; nini kilipelekea haya yote kutekelezeka? TAFAKARI.....!!!!!???? Hawa viongozi wa ngazi za juu ambao tumekuwa tukisikia au kushuhudia ufisadi wanaoendeleza ni matokeo ya malezi au makuzi waliyopata toka huko awali walipokuwa wanatumika katika nafasi nyinginezo kama wewe.

Tatizo kubwa linalotukabili ni UBINAFSI uliokidhiri miongoni mwetu, kutokufikiri juu ya wengine.
 
huwezi fanikiwa mama anapenda watu wa dini, kwani amejamiiana na padre ,labda uje kwa gia ya kilokole.pia inataka moyo siyo kazi rahisi ukizingatia sura kama fiat mbaula,k itakuwa kama barabara za mbagala.
Mtoto akiwa mkubwa lazima aku balali

where aru you paw??
 
Mama anajiweka sawa,pale Njombe kuna hoteli mpya inaitwa Achievement inasemekan ni yake.Baada ya achievement ya uspika haya ndiyo matunda yake.LOL
 
Back
Top Bottom