Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...!

Kitu mnachoshindwa kuelewa ni kuwa anadhaminika. Na hayo mabasi ukidhaminika hata wewe unapewa.
 
Tatizo ni nini? Makinda amekuwa mtumishi wa umma kwa muda gani? Hivi kwa level ya kipato cha makinda kwa miaka yote hii angeshindwa kuwa na bilion kadhaa? Acheni wivu nyie.
 
Tumekwisha hata huyu naye yumo? This is within one year? Mpaka atoke si atakuwa ameaanzisha shirika la ndege au hata benki? Ninavyofaham mimi yuotong moja is not less than million mia moja na arobain 140,000,000/= kwa hiyo ukizidisha mara 8 yaani 140,000,000*8=1,120,000,000/= yaani bilion moja na milioni mia moja na ishirini na sasa ana mwaka mmoja tu kazini inamaana kila mwezi amesave milioni 93 point something kwa ajiri ya kununua haya mabasi. Swali ni je analipwa shilingi ngapi? Au kama ameyakopa amepata wapi security ya kumuwezesha kukopa mali zote hizo wakati sisi huku mtaani hata ukitaka kukopa milion kumi tu unaambiwa lete hati ya nyumba na wakiithaminisha watakwambia thamani yake ni milion 6! Help us God
Nashindwa kuamini kama Yutong zauzwa bei namna hii,kama ni kweli,vp kuhusu ma-benz kama ya Dar express ma-Andare(scania),inanishangaza kwa sababu hizi Yutong hata kuchoka zinachoka haraka sana!
 
Mhhhh !!!! nashindwa kuwatofautisheni na maisha ya familia ya mtu mwenye zaidi ya mke mmoja (wake wenza) kwani kutoka kwa mleta mada mpaka kwa wachangiaji spati picha kama issue ni youtong ama usipika.

Nadhani ingekuwa vema kumjadili mtu kwa msingi wa namna aliopatia mali ktk maana ya uhalali wa mali pasipo kuwa bias. Leo hii sote tunafahamu maslahi makubwa wakuu wetu walivyojilimbikizia kwa kulinganisha na yale ya kima cha chini, hivi kama tu mbunge ana net pay ya 7.5m/= spika ana ngapi?
 
Tatizo ni nini? Makinda amekuwa mtumishi wa umma kwa muda gani? Hivi kwa level ya kipato cha makinda kwa miaka yote hii angeshindwa kuwa na bilion kadhaa? Acheni wivu nyie.

Hapa hatuangalii kakaa muda gani Madarakani, sawa ni wa muda mrefu lakini waliomuweka madarakani awatumikie kawafanyia nini...? Ndugu sikudanganyi nenda Njombe kusini katika jimbo lake, watu wake (Wabena) wanauhaba wa maji safi na salama hasa Njombe Mjini, Hospitali ya Kibena haina huduma nzuri, madawa hakuna kila kukicha ni vifo, barabara mbovu, yani ni aibu kwa muda aliokaa madarakani.
 
pale udom kachukua ekari 70 kuzunguka chuo sijui atalifanyia nini,awaulize akina mobutu waliomiliki nyumba za vyumba 100 vyote gold furnished.mwingine bokasa alikuwa na kiti cha gold na juzi kanali alikuwa na mguu wa kuku pure gold

hahaaaa kanali akaishia kusokomezwa vijiti matakoni
 
hii ndo kula yao ya mwisho-so kila mtu analimbikiza as much as he/she can
 
Wana jf wenzangu, tuacheni majungu ya hate preachers. Hata kama ni kweli, hizo basi 8 tuu watu mnamaind as if kaiba, zingekuwa 100 kama Sumry, mngesemaje?.
Hata kama ni kweli (I doubt) kwa kutumia tuu common sense ingekuwa ni ufisadi ange invest kwenye visible bussiness?!. Si na yeye angeli jiwekea tujisenti twake kule Credit Sussie na kuvidunduliza mpaka huto tujisenti tugeuke vijisenti?!.

Mbona kuna mikopo benki mtu unakopeshwa hadi basi 40 kama Scandnavia?.

Kwani kwa viongozi ni mwiko kufanya biashara?. Mbona Mkapa amefanya biashara hadi Ikulu, itakuwa spika?!.

Please mwacheni mama wa watu, tena msimsakame kabisa mwanamke wa shoka huyu. Kama aliweza kumgaragaza SS (speed & standards) kwa kutumia ile silaha yake most powerfull na kisiki cha mpingo kikaanguka!, what is youtong 8?!.

Tuacheni majungu jamani!.
 
anamiliki na hoteli moja pale njombe inaitwa agreement. nanyingine inaitwa miriam hotel
 
Sio siri, kaweka magari yake kwa SUPA FEO

Ina maana kanunua hayo magari kwa pesa za wizi. Kwanini kama ni za halali isiwe wazi tu kuwa magari ya Anna Makinda yale, anasaidia kukuza uchumi na kutoa ajira kwa watu wengine?

Na kweli mwaka huu mwanzoni nilipanda Yutong ya Superfeo Kutoka Songea kwenda DAR. Na wanayo mengi.
 
wacha nimpge tyming mtoto wake wa kike....... nijimilikishe mimali mie..... coz kabakisha 20 huyu!!!!@#$%
 
Hapa hatuangalii kakaa muda gani Madarakani, sawa ni wa muda mrefu lakini waliomuweka madarakani awatumikie kawafanyia nini...? Ndugu sikudanganyi nenda Njombe kusini katika jimbo lake, watu wake (Wabena) wanauhaba wa maji safi na salama hasa Njombe Mjini, Hospitali ya Kibena haina huduma nzuri, madawa hakuna kila kukicha ni vifo, barabara mbovu, yani ni aibu kwa muda aliokaa madarakani.

ulikuwa unataka mshahara wake aupeleke jimboni kwake. Acha ushabiki usio na maana.
 
Utakufa maskini kwa wivu wako wa kijinga. Sio kita tajiri ni fisadi.
 
Back
Top Bottom