Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

asalaam alaykum wana jamii

nipo kwenye wakati mgumu wa maisha nashindwa kuamua, mimi ni msomi wa shahada mbili sasa na nina miaka 30, naitaji kuolewa na kuwa na watoto na familia shida yangu ni kwamba kila ninapopeleka mwanaume nyumbani anakasoro, nakumbuka mwaka 2003 nilimpata kijana mmoja ila hakuwa msomi ila nilimpenda sana kwavile alikuwa ananipenda naamini , hakuwa tajiri ila alikuwa na upendo, kibaya zaidi mama yangu alipogundua akanambia hamtaki kijana uyo kwa vile haendani na hazi yangu maana yeye anatupa pesa za kusomesha , basi nikawa naishi nae kiugu the result tulitengana kwa vile hakuwa mwaminifu ila sio umasikini, 2005 nikampata kijana mwingine ambaye yeye alikuwa na pesa sana mama yangu alifurahi kwa vile pesa ndogo ndogo hazimchengi nae alikuwa na upendo nikapenda awe mume wangu , kwa elimu ni darasa la saba, ikabidi aanze process za harusi 2007 mwanzoni , mzee wangu akauliza uyo mkwe wa aina gani maana anaelimu gani baada ya kuambiwa darasa la saba akasema hamtaki anamtaka msomi, basi kwa kuheshimu wazazi ikabidi ndoa ivunjwe , ila tulliendelea na uhusiano mpaka pale niliponda usa kuchukuwa shahasa yapili.

Niwapo uko nilijuwa kuwa natakiwa nitafute mume msomi ndio baba yangu aniozeshe nilitumia jitihada kumwambia mwenzangu aende shule maana bado nampenda aligoma, basi ikabidi nifanye maamuzi ya kuwa na msomi kweli nilimpata na nikaanza maisha yakawa mazuri, tatizo likaja kwake yeye anasifa zote ila wakati mipango ya harusi inataka ianze nikagundua kuwa ni mwanaume makaya kushinda maelezo wala hana mwiko , kila kitu anakula
kweli njilikuwa dilema nikawa sina jibu na mipango ya ndoa nikagailisha . Nimepatw na mawazo yule asiesoma bado nampenda na kanambia kama nitakubali hali yake nimwambie tuishi ila baba ndio ivyo anataka msomi, nami naitaji familia jamani naomba ushauri hapa nifanyeje?

Naitwa dada najma shida tangu nikwamba napata tabu kwenye maamuzi maana mama
endelea kusikiliza hao wazazi,mpaka ukija kushtuka utakua ushakua bonge la nungayembe na MARADHI juu,maamuzi fanya mwenyewe wazazi sio wao wanakuja ishi na huyo mume bali niwewe ,haya mambo yanakera sana maana hata mimi naugulia hapa hata miezi miwili haijapita imebidi tuachane na mchumba tuliyependana kisa wazazi wamemwambia mila zitatofautiana yeye (mkenya),yaani hasira mpaka basi
 
Mimi sio jisomi kama weye, ila njoo kwangu na roho yako itapona! Walahi napata ushungu shana kila ukieleza umemegwa na midume mitatu. Hao unaowataja, je vipi wa vyuo? shule na chekechea?
 
Najma, wewe ndiye utakayeishi na mume wake na si wazazi wako. Hivyo kama unataka kuolewa na huyo wa darasa la saba basi huo ni uamuzi wako pamoja na kuwa unaweza kabisa kukukosanisha na Baba yako ambaye anataka msomi. Kipenda roho hula nyama mbichi. Kaa ufikirie hili kwa kituo na kama huyo wa darasa la saba bado mnapendana kiasi cha kuamua kuoana basi wafahamishe wazazi wako hivyo na usonge mbele na uwe tayari kwa lolote lile ikiwemo pia kutengwa na Baba yako kwa kuolewa na mtu ambaye si msomi.
 
Najma, inaonekana hizo degree zako hazikusaidii kitu; hao wazazi wako wana elimu gani na pesa kiasi gani? Mpaka wanaoana walikuwa na nini kulinganisha na hao wanaowakataa?

I suggest that you grow up and marry the person you love... Muolewaji ni wewe!!!
 
wazazi wangu wote hawjasoma na hawana pesa sana kama unavyofikilia wana pesa za kula tuu, ila kwavile they spend alots of money for my school fees they expect that they gonna enjoy the life, kigezo kingne wanaona elimu ndio kitu muimu there is no need for being marriage with mtu asiyesoma ,. na nikweli walipoowana walikuwa hawana kitu baba yangu anapingamizi kwa tajiri au maskini ila awe msomi ila mama ndio ivyo tena , okey thanks all awill do whaterever my mind need me to do
 
Mimi sio jisomi kama weye, ila njoo kwangu na roho yako itapona! Walahi napata ushungu shana kila ukieleza umemegwa na midume mitatu. Hao unaowataja, je vipi wa vyuo? shule na chekechea?

kaka kuwa na boy friend watatu is not a big deal and is not mean that ni malaya, kama ningekuwa nao ningekwambia , nashukuru kwa kuskia uchungu ila naitaji ushauri wako sio kingine, but is okey ma dear ila mawazo yako sio nilivyo
 
Najma, wewe ndiye utakayeishi na mume wake na si wazazi wako. Hivyo kama unataka kuolewa na huyo wa darasa la saba basi huo ni uamuzi wako pamoja na kuwa unaweza kabisa kukukosanisha na Baba yako ambaye anataka msomi. Kipenda roho hula nyama mbichi. Kaa ufikirie hili kwa kituo na kama huyo wa darasa la saba bado mnapendana kiasi cha kuamua kuoana basi wafahamishe wazazi wako hivyo na usonge mbele na uwe tayari kwa lolote lile ikiwemo pia kutengwa na Baba yako kwa kuolewa na mtu ambaye si msomi.
thanks u i will do that
 
najma watu wengi wanakutukana lakini ukweli unabaki kuwa familia zetu huwa zinaingilia sana ndoa zetu, tena hususan kwenye maswala ya dini
utaambiwa lazima mkeo abadilishe dini au mumeo abadilishe dini.
fata ushauri wa baba yako ni mzuri
wewe ukiwa umesoma na mwanaume hajasoma saa ingine inaweza ikakufanya uwe powerful ndani ya nyumba na mwanaume kujisikia mnyonge kwa ajili yeye ajasoma. ni kama vile mke mwenye fedha kuliko mume wake.
mwanaume sio lazima awe na degree mbili hata moja inatosha
na kwa ajili baba yako alishamkataa mara ya kwanza kwa ajili ajasoma na wewe pia uliachana naye hilo litakuwa doa tiyari na linaweza likawa linakuja kila mara mkiwa na matatizo ya kutokuelewana. anaweza akaju kukuambia si ulikuwa hunitaki kwa ajili sijasoma.....
miaka 30 sio mingi dada yangu kuwa na subira na changua mume ambaye mtaelewana.
 
wazazi wangu wote hawjasoma na hawana pesa sana kama unavyofikilia wana pesa za kula tuu, ila kwavile they spend alots of money for my school fees they expect that they gonna enjoy the life, kigezo kingne wanaona elimu ndio kitu muimu there is no need for being marriage with mtu asiyesoma ,. na nikweli walipoowana walikuwa hawana kitu baba yangu anapingamizi kwa tajiri au maskini ila awe msomi ila mama ndio ivyo tena , okey thanks all awill do whaterever my mind need me to do

Sorry Najma kama maswali yangu yamekaa vibaya, nilichotaka ku-address ni kwamba hawa wazazi waache kuangalia vigezo vyao kwa ndoa zetu na inatia uchungu zaidi kama wao hawajasoma lakini bado wananyanyapaa wasiosoma

Ushauri wangu ni kwamba chagua unachotaka, watalalamika lakini baada ya few months watakuwa nanyi kwa kila jambo

it has been proven in most cases
 
najma watu wengi wanakutukana lakini ukweli unabaki kuwa familia zetu huwa zinaingilia sana ndoa zetu, tena hususan kwenye maswala ya dini
utaambiwa lazima mkeo abadilishe dini au mumeo abadilishe dini.
fata ushauri wa baba yako ni mzuri
wewe ukiwa umesoma na mwanaume hajasoma saa ingine inaweza ikakufanya uwe powerful ndani ya nyumba na mwanaume kujisikia mnyonge kwa ajili yeye ajasoma. ni kama vile mke mwenye fedha kuliko mume wake.
mwanaume sio lazima awe na degree mbili hata moja inatosha
na kwa ajili baba yako alishamkataa mara ya kwanza kwa ajili ajasoma na wewe pia uliachana naye hilo litakuwa doa tiyari na linaweza likawa linakuja kila mara mkiwa na matatizo ya kutokuelewana. anaweza akaju kukuambia si ulikuwa hunitaki kwa ajili sijasoma.....
miaka 30 sio mingi dada yangu kuwa na subira na changua mume ambaye mtaelewana.

Semilong, nadhani si matusi ila tu labda lugha inayotumika inareflect hasira za vijana wengi towards wazazi kwa kuwaingilia kuchagua wachumba au wanandoa

Hilo la umri ndugu yangu ni ni factor, yaani wanawake wengi wasomi, tena wenye masters na kuendelea kama hawajapata wachumba hadi wanafika level hiyo ya umri na elimu huishia kwenye frustrations

Ukweli ni ukweli kwamba age inavyosogea ni matatizo kabisa
 
Najma:-

Shuka kwa wazazi wako na mwanamke, na waambie kuwa huyo ni msagaji mwenzako na mmehamua kuishi pamoja. Nakwambia wazazi wenyewe watawatafuta wachumba wako wa zamani na kuomba msamaha.
 
si umesema anapenda chini balaa?sasa unataka kurudi tena angalia maradhi mama maana usije ukakosa kilakitu,bwana,wazazi,matunda ya elimu yako,na raha zooote hizi za dunia,haya chukua tahadhari/

umenikoti vibaya sana yeye nimekwambia anasifa zote na wala sio muhuni na anajali sana , nazani ni yule wa kwanza ambaye ilikuwa story tuu ili niweze kueleweka , kuusu wazazi naitaji niamue nikawaza hata haya matunda sababu yao hata kama nikisema dont care hawataridhika at the moment mimi ndio mtoto ambaye wazazi wangu wananiangalia kwa kila jambo kunipenda na kunipa kila kitu , nikiamua kama nitadisapoint nasali kwanza mungu anipe njia
 
najma watu wengi wanakutukana lakini ukweli unabaki kuwa familia zetu huwa zinaingilia sana ndoa zetu, tena hususan kwenye maswala ya dini
utaambiwa lazima mkeo abadilishe dini au mumeo abadilishe dini.
fata ushauri wa baba yako ni mzuri
wewe ukiwa umesoma na mwanaume hajasoma saa ingine inaweza ikakufanya uwe powerful ndani ya nyumba na mwanaume kujisikia mnyonge kwa ajili yeye ajasoma. ni kama vile mke mwenye fedha kuliko mume wake.
mwanaume sio lazima awe na degree mbili hata moja inatosha
na kwa ajili baba yako alishamkataa mara ya kwanza kwa ajili ajasoma na wewe pia uliachana naye hilo litakuwa doa tiyari na linaweza likawa linakuja kila mara mkiwa na matatizo ya kutokuelewana. anaweza akaju kukuambia si ulikuwa hunitaki kwa ajili sijasoma.....
miaka 30 sio mingi dada yangu kuwa na subira na changua mume ambaye mtaelewana.
where you are now, ni kweli kabisa hata mimi nilishawahi kuona ilo mfano utakuta tunabishana kitu kwa kweli ni cha kutumioa akili ila nikisema ivi yeye anakomaa kwenye msimamo nikibisha utaskia wewe si msomi , kama vile inferiority complex ndio maana nikamwambia angesoma hata form six tuu ukikumbana na kukesha lazima brain inakuwa nzuri, lingine ndugu zake msomi hatamuweza yule mambo kama hayo
 
umenikoti vibaya sana yeye nimekwambia anasifa zote na wala sio muhuni na anajali sana , nazani ni yule wa kwanza ambaye ilikuwa story tuu ili niweze kueleweka , kuusu wazazi naitaji niamue nikawaza hata haya matunda sababu yao hata kama nikisema dont care hawataridhika at the moment mimi ndio mtoto ambaye wazazi wangu wananiangalia kwa kila jambo kunipenda na kunipa kila kitu , nikiamua kama nitadisapoint nasali kwanza mungu anipe njia
ok pole lakini anyway jaribu kufikiria nikipi kizuri kwako kwa muda huu,willing za wazazi hasa katika mahusiano mara nyingi wewe ndio utakuja kuumia tu,mi yamenitokea kama hayo nimeachana na huyo mpenzi sasa hivi yapata miezi miwili na wala hatujagombana na tunaelewana sana
lakini ilipokuja swala la wazazi(wake) kuwaconvise mi nimeshindwa na ni kama hivyo wewe mwenzangu ye msomi na bado anasoma na hao wazazi wameshika hapohapo,yaani ilichobaki ni maumivu tu hasa ikiwa mmependana,mi nadhani hapo wazazi huwa wanakosea sana kwakweli,jitahidi ufanye maamuzi ya busara hiyo acha,chukua,acha kisa wazazi unakuwa used buree kabisa kwani naamini nawewe kukaa bila mpenzi haiwezekani,jingine kwani kila anayeenda wanamuuliza certificate kama anaenda kuomba kazi au?chukua tapeli mmoja akawapige porojo za university mpaka wenyewe wakubali then unabembea nae au vipi?
icon10.gif
 
Back
Top Bottom