Malkia wa Uingereza, nini kazi zake?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,980
13,633
WanaJF, nikiri tu kuwa hapa jamvini mimi ndo mtu ambaye kielimu nipo chini sana.

Pamoja na hayo nimejifunza mambo mengi kupitia hapa JF. Hakuna siku ambayo nimeacha kupita hapa JF.

Tafadhali, mtu anayejua kazi au shughuli za kila siku za malkia wa Uingereza anijuze, tafadhali, tafadhali msinibeze, tumia kiswahili, kiingereza sitaelewa sana.

Ni mkuu wa nchi ya uingereza.
Zamani ufalme ulikuwa na nguvu ila kwa sasa umebaki kama heshima tu bila kuwa na maamuzi kwenye serikali.
Chama kikishinda uchaguzi malkia ndio anakipa idhini kitengeneze serikali.
nchi 16 zinamtambua kama kiongozi wao.

mkuu umesema vema, shughuli zake kiutendaji kila cku ni zipi? Ana ofice? Ofisi yake inafanya shughuli/kazi ipi/zipi?

mkuu umesema vema, shughuli zake kiutendaji kila cku ni zipi? Ana ofice? Ofisi yake inafanya shughuli/kazi ipi/zipi?

Malkia hana nguvu kiutendaji na kimaamuzi kama nilivyosema...amebakia kama nembo tu ya nchi ya uingereza.
yeye anaishi Buckingham palace.
mwenye nguvu kiutendaji ni waziri mkuu ambae ndio mkuu wa serikali.

Mkuu wa Jumuia ya madola

mkubwa! Yote mliyosema,wewe na wachangiaji wengine hapo juu nayajua. Nachotaka kujua kwa mfano,akiamka asubuhi anaenda wapi? Au kama anawasaidizi wake wanafanya kitu gani? Wapi? Hapohapo burkinham palace au anaenda/wanaenda wapi? Ana mshahara? Au posho?.... Mko wapi wajuzi wa mambo?

Mkuu majibu uliyopewa ndio hayo na yanajitosheleza sana...siku hizi hana mamlaka kikatiba so yupo yupo tu bila majukumu mazito ya kiserikali zaidi ya kushauri nk.
Ndio maana ni mkuu wa nchi 16 kama nilivyosema...katika hali ya kawaida mtu mwenye jukumu la kuongoza nchi 16 si ungekuwa wamsikia akitoa maamuzi kuhusu mambo mbali mbali ya nchi hizo? ila uongozi wake ni wa heshima zaidi ndio maana humsikii.
makazi yake kama nilivyosema ndio hapo buckingham na hata shughuli kama chakula cha jioni na viongozi wengine anafanyia hapo pia.
Suala la posho na mshahara hiyo habari haipo wazi mkuu ndio maana hata hapa nchini hujui rais anapewa mshahara na posho kiasi gani.

mkubwa! Yote mliyosema,wewe na wachangiaji wengine hapo juu nayajua. Nachotaka kujua kwa mfano,akiamka asubuhi anaenda wapi? Au kama anawasaidizi wake wanafanya kitu gani? Wapi? Hapohapo burkinham palace au anaenda/wanaenda wapi? Ana mshahara? Au posho?.... Mko wapi wajuzi wa mambo?

Naona huridhiki na maelezo unayopewa,hebu ngoja tusubiri hao wajuzi wa mambo unaowataka.

Ok mi naona wengi wamejaribu kutoa maelezo.. ila kwa kifupi mi naona Malikia wa uingereza au aina ya cheo alichonacho waingereza wameamua kukibakisha iwe ni kama moja ya kumbukumbuku za kitaifa na aina flani ya chombo cha kuitangaza inchi kimtindo... kwani wamemuondolea nguvu nyingi za kisheria na utendaju... tofauti na inchi zingine zenyewe wafalme na akina malkia ambao wana nguvu ya kiserikali.. kwa uingereza ni kama chombo cha utaliii tu.. ili ukienda kule uhakikishe huondoki mpaka uende kwenye mtaa anaoishi na ww ukirudi useme ulifika kwenye mtaa anaoishi malikia.. na chochote utakachoambia anatumia aua kafanya malkia utakipiga picha au kusimulia. so mi naona kama yupo kwa ajli ya utaliiii tu kwa taifa

Malkia wa u.k ana act kama ceremonial leader..yeye ni kama alama ya muungano baina ya nchi zinazounda united kingdom..hii inamaana hana nguvu ya kutoa maamuzi juu ya serikali..waziri mkuu ndio kiongozi wa serikali.

Hii link inakupeleka katika kazi anazofanya Malkia kila siku, unaweza itafsiri kwa google kama kiingereza kinakupa tabu: The Queen's working day

kilema wa akili

Back
Top Bottom