Malkia wa Uingereza, nini kazi zake?

Hii link inakupeleka katika kazi anazofanya Malkia kila siku, unaweza itafsiri kwa google kama kiingereza kinakupa tabu: The Queen's working day

mwanzo wa maelezo kasema kimombo hakipandi sasa hii link si ya kimombo jamani?

Kazi za malkia wa uingeleza ki selikali zinafanana na kazi anazofanya mh Mohamed Gharib Billal (vice prezidaa) wa hapa Bongo. Utamkuta tu kwenye uzinduzi wa walshal, guest, kumbi za starehe, nk

• Thanks
Reactions: MC7
The Queen's working day

queen%20working%20day.jpg

The Queen has many different duties to perform every day.

Some are public duties, such as ceremonies, receptions and visits within the United Kingdom or abroad.
Other duties are carried out away from the cameras, but they are no less important. These include reading letters from the public, official papers and briefing notes; audiences with political ministers or ambassadors; and meetings with her Private Secretaries to discuss daily business and her future diary plans.
Even when she is away from London, in residence at Balmoral or Sandringham, she receives official papers nearly every day of every year and remains fully briefed on matters affecting her realms.

In front of the camera or away from it, The Queen's duties go on, and no two days in her life are ever the same.

Lakini hawa britons, walipokuwa wakitawala Waafrika, kwanini waliondoa Uchifu?

Si wangewabakisha tu kama tribal/Clan figure au cha Kiafrika si chema?

• Thanks
Reactions: MC7
Ni mvivu na mpenda ukuu ajabu. Hajawahi kubeba kitu chochote zaidi ya nguo mwilini mwake, anafanyiwa kila kazi ikiwemo kula anatafuniwa ye anameza tu. Na akijamba anapewa pole kwa kazi ngumu! Kifupi cheo chake ni janga!

Mengine wataongeza wenzangu!

mkuu umenivunja mbavu.

The Queen's working day

queen%20working%20day.jpg

The Queen has many different duties to perform every day.

Some are public duties, such as ceremonies, receptions and visits within the United Kingdom or abroad.
Other duties are carried out away from the cameras, but they are no less important. These include reading letters from the public, official papers and briefing notes; audiences with political ministers or ambassadors; and meetings with her Private Secretaries to discuss daily business and her future diary plans.
Even when she is away from London, in residence at Balmoral or Sandringham, she receives official papers nearly every day of every year and remains fully briefed on matters affecting her realms.

In front of the camera or away from it, The Queen's duties go on, and no two days in her life are ever the same.

Jamani hivi hiki ni kiswahili?

mkuu umesema vema, shughuli zake kiutendaji kila cku ni zipi? Ana ofice? Ofisi yake inafanya shughuli/kazi ipi/zipi?

Ana shughuli za kijamii na kiserikali japo si za kiutendaji zaidi. Pia Royal family ni Institution ambayo inasimamia shughuli za kibiashara na mkuu wake ni queen.

Mkuu mleta mada nadhani wengine wote wanajibu juu juu tu
pitia link ya FF na translate kwa google utapata unacho uliza hapa

Mkuu majibu uliyopewa ndio hayo na yanajitosheleza sana...siku hizi hana mamlaka kikatiba so yupo yupo tu bila majukumu mazito ya kiserikali zaidi ya kushauri nk.

Ndio maana ni mkuu wa nchi 16 kama nilivyosema...katika hali ya kawaida mtu mwenye jukumu la kuongoza nchi 16 si ungekuwa wamsikia akitoa maamuzi kuhusu mambo mbali mbali ya nchi hizo? ila uongozi wake ni wa heshima zaidi ndio maana humsikii.

makazi yake kama nilivyosema ndio hapo buckingham na hata shughuli kama chakula cha jioni na viongozi wengine anafanyia hapo pia.

Suala la posho na mshahara hiyo habari haipo wazi mkuu ndio maana hata hapa nchini hujui rais anapewa mshahara na posho kiasi gani.

mweshimiwa umejitahidi kujieleza. Na nimekuelewa vizuri,nisaidie na hili mkuu...umesema ni mkuu wa nchi 16,sawa! Ikitokea 1 ya nchi hizo yakafanyika mapinduzi kama libya au Tunisia, serekali ya uingereza isiyatambue mapinduzi hayo. Na nchi inaongozwa na waasi kama wale NCT wa libya. Malkia atabaki kuwa mkuu wa nchi hiyo? ...usichoke mkuu

Ndio maana nikamwabia akaibadili kwa google, siku hizi unaweza itranslate page yoyote kwa kiswahili, nadhani kama hajaelewa angesema nimuelekeze, au kwa kifupi na kwa urahisi zaidi atumie browser ya Chrome itampa option kama anataka kusoma hiyo page kiswahili au kiingereza.

Naomba nielekeze mimi jinsi ya kutranslate kwa kutumia simu.

Ndio maana nikamwabia akaibadili kwa google, siku hizi unaweza itranslate page yoyote kwa kiswahili, nadhani kama hajaelewa angesema nimuelekeze, au kwa kifupi na kwa urahisi zaidi atumie browser ya Chrome itampa option kama anataka kusoma hiyo page kiswahili au kiingereza.

poa bibie

Malkia wa kufanya kazi kwa siku
queen%20working%20day.jpg

Malkia ana wajibu mbalimbali kufanya kila siku.
Baadhi ya umma, kazi kama vile sherehe za sherehe, na ziara za ndani ya Uingereza au nje ya nchi.
Shughuli nyingine zinafanywa mbali na kamera, lakini si chini muhimu.Hizi ni pamoja na kusoma barua kutoka kwa wananchi wa magazeti, rasmi na maelezo ya mkutano; watazamaji na mawaziri wa kisiasa au mabalozi, na mikutano na Makatibu wake binafsi kujadili biashara ya kila siku na mipango yake ya baadaye diary.
Hata wakati yeye ni mbali na London, katika makazi katika Balmoral au Sandringham, anapata rasmi magazeti karibu kila siku ya kila mwaka na bado kikamilifu walipelekwa katika masuala yanayohusu ulimwengu wa roho yake.
Mbele ya kamera au mbali na hayo, Malkia wa kazi kwenda juu, na hakuna siku mbili katika maisha yake ni milele moja.
Asubuhi
Alasiri
Evening

Mtu anaetumia simu atawezaje kutranslate kwenye Google Translate? kwa nini wewe usitranslate uilete hapa?
Mkuu mbona unamtetea sana wewe umejuaje kama anatumia simu au la.
Na mbona mwenye hajibu kitu kuhusu hili na unakazana kumjibia?

Malkia wa kufanya kazi kwa siku

Malkia ana wajibu mbalimbali kufanya kila siku.

Baadhi ya umma, kazi kama vile sherehe za sherehe, na ziara za ndani ya Uingereza au nje ya nchi.

Shughuli nyingine zinafanywa mbali na kamera, lakini si chini muhimu.Hizi ni pamoja na kusoma barua kutoka kwa wananchi wa magazeti, rasmi na maelezo ya mkutano; watazamaji na mawaziri wa kisiasa au mabalozi, na mikutano na Makatibu wake binafsi kujadili biashara ya kila siku na mipango yake ya baadaye diary.

Hata wakati yeye ni mbali na London, katika makazi katika Balmoral au Sandringham, anapata rasmi magazeti karibu kila siku ya kila mwaka na bado kikamilifu walipelekwa katika masuala yanayohusu ulimwengu wa roho yake.

Mbele ya kamera au mbali na hayo, Malkia wa kazi kwenda juu, na hakuna siku mbili katika maisha yake ni milele moja.

Asubuhi

Alasiri

Evening

hapo safi hata mimi nilishindwa nadhani kwa vile natumia simu.safi sana

Back
Top Bottom