judey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 436
- 514
Mie ni kijna miaka 24 ,mwenye hofu ya Mungu na mpambanajii
Mie ni mwenyeji wa Kahama , nipo mwanza kuanza maisha rasmi baada ya kumaliza chuo dar es salaam na kupambana sana ,
nimefanya biashara lakin bado sikufanikiwa ,
1, nilifanikiwa kufungua kampuni ndogo ya usafi wa majumbani ,maofisin namahospitalini , ilikufa kutukana na kushindwa kuendesha sabab ya mtaji ulikuwa. Mdgo
2,nimefanya biashara ndogo ndogo nyingi
Nimeuza asalii mbichii nimetembea Sana jijini dar se salaam
Nimeuza vimfuko
Nimeuza viatu vya mtumba
Udalali nimefanya
Na nyingine nyingi
Sasa nimehamia MWANZA baada ya kufeli dar es salaam
Kielimu :nina diploma marketing in public relations
Uzoefu wa kazi tofauti tofauti
1, nimefanya kazi ya store keeping kwa miez mitano katika duka moja hapo kariakoo jijin dar es salaam
2,nimefundisha masomo ya kiingereza. na hesabu ( darasa la kwanza Hadi O level)
3,nimewahi kuendesha account ( social media ) za moja ya msanii hapa bongo
4, nimewahi uza duka la vifaa vya keki
KAZI NAZO HITAJI
1,Kufundisha ( masomo ya kiingereza na hesabu )
2, kuuza duka, au kusaidia dukani
3, marketing officer
4, store keeper
Note : kazi yeyote halalii nafanya yenye malipo kuanzia 5000/= kwa siku
MUNGU NI WETU SOTE , ALIYEKUPA WEWE NA MIE IPO SIKU ATANIKUMBUKA
NAWASILISHA !!!!!!!!! 0626456047