MAlaria sugu ni nani naomba ufafanuzi???

Ni jamaa mmoja anakaa Mbagala Zakhem (Zakiem), anapenda kushinda na bagharashia pale karibu na kituo cha daladala.
 
ni mtu asiyekua na uchungu kwa watz 41m,wagonjwa wanaokosa huduma ya afya,anafurahia bora elimu si elimu bora,hajali jinsi gani vijana wetu wasivyo na mazingira mazuri ya ajira,hajiulizi kwa nini baada ya miaka 50 ya uhuru miondombinu reli,ndege,meli imeporomoka,viwanda tanga hakuna tena,mashamba makubwa ya kahawa,katani hakuna tena
 
anambukiza watu humu mmhhhh
kama ametoa Mrara...
utampenda na kumchukia hapo hapo..
poster zake kama we una short temper
hata usijibu soma tu pita...
 
Ni jamaa mmoja anakaa Mbagala Zakhem (Zakiem), anapenda kushinda na bagharashia pale karibu na kituo cha daladala.

Mkuu,
Anawezaje kuwa online all the time, na hatumii simu kuwa online, akiwa kituoni tena mbagala, akiionyesha tu hata hiyo laptop yake ni lazma jamaa wamuwinde na waichukue @ any cost. I personally doubt on the words highlighted on red.
 
Samirnasri,

Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)

Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.

Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.

upupu bin upumbavu
 
Am glad nimefungua hii thread manake kuna majibu humu yanafurahisha sana,Ms is special by all standards
 
Wana JF tangu nimejiunga nimekua nikiona contributions nyingi zinagusia neno malaria sugu. Je has it got something to do with mradi wa sugu wa malaria or? Naomba chimbuko ya neno hili na sababu zinazopelekea neno malaria sugu kutokea mara kwa mara kwenye michango ya watu.
<br />
<br />
Uyo ni K NINA WA HUMU JF
 
Back
Top Bottom