MAlaria sugu ni nani naomba ufafanuzi???

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Wana JF tangu nimejiunga nimekua nikiona contributions nyingi zinagusia neno malaria sugu. Je has it got something to do with mradi wa sugu wa malaria or? Naomba chimbuko ya neno hili na sababu zinazopelekea neno malaria sugu kutokea mara kwa mara kwenye michango ya watu.
 
Samirnasri,

Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)

Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.

Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.
 
Malaria Sugu? umesahau kua upo home kwa great thinkers na sinkers? MS anaangukia kwenye the later, hapa bana wote, wagonjwa, vichaa, wazima kidogo, wazima sana, wote tumo humu humu!
 
Anayeongoza kwa pumba humu ndani.
Man with the most pumba in the year 2010.
 
Anayeongoza kwa pumba humu ndani.
Man with the most pumba in the year 2010.

Basi achongewe NGAO ya PUMBA, kisha atoe anuani yake na JF wakampe. Tupendekeze jina la Ngao hiyo....

Mimi naanza na 1. MS mshindi wa kuandika Pumba JF 2010
 
Ni organization,team,ya vibaraka kwa kazi maalum ,ya kutetea mafisadi kwa njia ya pumba na yatokanao
 
Malaria Sugu,

Umekuja kwa sura mpya ukitafuta watu waseme wanakuelewa vipi? Wengi wameishasema lakini wewe ni mwakilishi wa mafisadi hapa jamvini!!!

Tiba
 
I like the thread, kwa kweli inachekesha watu wanvyomfahamu Mr. MS

Saminasri: Ubaya wa Malaria Sugu ulivyo huko mataani ndivyo ulivyo hapa JF, nakushauri kabla hujafungua thread yoyote hapa JF angalia initiator ni nani ukiona jina Malaria Sugu usifungue kwani waweza kuishia kutukana na kula BAN
 
huyo, malaria sugu,jeykey wa ukwel, daresalam na ali kombo wote ni walinda ufisadi na udini, wanatengeneza uselss threads kutuchukiza,nilipewa warning letter from MOD,kwa sababu yao.sisomi na wala sijibu thread zao.
 
Nadhani huwa unakuja mara chache sana hapa jamvini. Nenda SEARCH kwenye SEARCH USER andika Malaria Sugu utapata ni nini!
 
Nadhani huwa unakuja mara chache sana hapa jamvini. Nenda SEARCH kwenye SEARCH USER andika Malaria Sugu utapata ni nini!
Anayesababisha wana JF kuchangia sana kuliko mtu mwingine iwapo atatoa comment yoyote au akitoa post yoyote, kwa maneno mengine he is a funy man!!!!!!!!!!!!!!:angry::angry:
 
Samirnasri,

Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)

Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.

Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.

mkuu nikiwa nataka kurefresh mind huwa napitia threads za MS kwakweli jamaa badala ya kuniudhi hubaki natabasamu na kuamini kweli binadamu tunatofautiana..ila yote ndani ya yote jamaa ana ujasiri wa nafsi!
 
Kichefuchefu na chukizo la jamii forums.
Majina mengine anayayoyatumia ni nonda, jeykey, dar es salaam, charity boy na mengine mengi.
Ni zuzu kabisa, atakuboa tu.
 
Kichefuchefu na chukizo la jamii forums.
Majina mengine anayayoyatumia ni nonda, jeykey, dar es salaam, charity boy na mengine mengi.
Ni zuzu kabisa, atakuboa tu.

mkuu,
hapo kwa uhakika umekosea. tena kama ni muungwana uombe radhi.
 
huyo, malaria sugu,jeykey wa ukwel, daresalam naali kombo wote ni walinda ufisadi na udini, wanatengeneza uselss threads kutuchukiza,nilipewa warning letter from MOD,kwa sababu yao.sisomi na wala sijibu thread zao.

..................... sijawahi kukgongana na wewe "Mzee wa Tae kwan do" may be na wewe una Identity nyingi ! Lakini kwa njia moja au nyingine kama madongo yalikuwa yanakupata .................... gumuia tu !:dance:
 
Back
Top Bottom